Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
- Thread starter
- #21
Iliboru ya kijinga jitu lina ulimi mzito sio kiswahili wala English labda lilibebwa na uchawi wa kinyiramba, hamna kitu kichwani yule.Mwigulu hafai kuwa kiongozi ,ana maneno ya shombo sana ,bado ujivuni wa Ilboru haujamtoka.
Kwani Phd ndiyo nini? Wananchi watakula Phd yako?