Tulioangalia mpira kupitia TBC

Kwa hiyo TBC iliyopo Dstv ni isiyokuwa HD?
Inategemea na wao (dstv) wanapokea signal kutoka tbc zenye ubora kiasi gani na pia wanarusha kwa ubora upi. Kwani quality ya bbc news tunayoangalia kupitia azam tv ndo wanayopata wanaoangalia huko England na Ulaya kwa ujumla? Kama ndiyo basi BBC wana quality mbovu mno.
 
Peleka Tv kwa fundi, mimi nimeangalia kupitia tbc hiyo hiyo kitu HD na mambo yalikuwa safi kabisa.
Kabla ya kumwambia apeleke TV kwa fundi, labda aseme aina ya TV aliyonayo na ya kwako uitaje ili tuzilinganishe
 
Mleta mada una majungu kubali una TV mbovu au umeamua tu. Mimi jana nimecheki ilikua safi. Wachambuzi mahiri Dokta Liki na Ramadhan Mbwaduke.
Jambo zuri likifanyika tusifu
 
Siku ukitazama HD angalau hata kwa 120HZ frame rate ndio utajua unakosa mambo mazuri, siyo ule ujinga waliokuwa wanarusha jana TBC.

Tafuta hela.
Natumia Canal+ boss, ukizungumzia HD ipo canal, wengine wote ni takataka. Lkn kwa hilo la tbc tunawasakama bure, quality ya picha zao jana ilikuwa bora mno, labda huko dstv kuna namna ilifanyika.
 
Mleta mada una majungu kubali una TV mbovu au umeamua tu. Mimi jana nimecheki ilikua safi. Wachambuzi mahiri Dokta Liki na Ramadhan Mbwaduke.
Jambo zuri likifanyika tusifu
Kabisa mkuu, jana tbc walifanha jambo zuri mno na hata ubora wa picha ulikuwa mzuri sana tofauti na siku zote.
 
Mi nilikerwa na uchambuz hafifu na viashiria vya siasa.Ila pongezi kwa kutuonesha.
Muda wa mapumziko baada ya kwenda kwenye uchambuzi directly, anapewa nafasi Waziri Nape,

Hii nchi siasa zake ni za ajabu sana
 
Wabongo wana hila na hatred.
Tunakuambia tbc ya dstv quality ni ya hovyo na utuambia tuna chuki.Mdau mmoja katufafanulia kuwa kupitia Startimes ndiyo kuna TBC ya kawaida na ya HD.Sasa tuichukie TBC kwa lipi wakati tuna access ya kuangalia kupitia Supersport kitu pure HD
 
Tunakuambia tbc ya dstv quality ni ya ovyo na utuambia tuna chuki.Mdau mmoja katufafanulia kuwa kupitia Startimes ndiyo kuna TBC ya kawaida na ya HD.Sasa tuichukie TBC kwa lipi wakati tuna access ya kuangalia kupitia Supersport kitu pure HD
Hoja ni kupotosha mambo. Ni kweli quality ya Dstv si sawa na ya TBC, point hapa ni madai ya uwongo ya muanzisha uzi. Mimi nimetazama via Azam na ipo safi kabisa na hakukua na hizo shida alizosema muanzisha uzi za sijui sauti, mara wachambuzi. Ubora ule wa picha ni HD.
 
Kwan kuna aliekiponda ?zile picha zilikuwa kama zinarushwa hivi na mtu harafu kuna nyakati zinaswitch vizuri na baada ya muda zinajirudiq tena unajikuta mtu unapata wenge tu.
 

acha ujinga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kiukweli kilichonikwaza jana ni ule uchambuzi, watangazaji wa mpira na mambo ya siasa tu ila kwa quality siwezi walaumu hata kidogo.
Pongezi kwa shirika letu.
 
WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO?
Sio kweli acha uzushi, itakua una Tv ya Chogo ya mwaka 1990 hauna Smart TV mimi nimeangalia na ilikua inaonyesha vizuri clear kabisa,
 
Sio kweli acha uzushi, itakua una Tv ya Chogo ya mwaka 1990 hauna Smart TV mimi nimeangalia na ilikua inaonyesha vizuri clear kabisa,
Wabongo utawaweza mradi naye aanzishe mada. Kweli serikali yetu na taasisi zake zinazingua kwelikweli, ila mtu wa haki anaponda na kutoa pongezi jambo likiwa zuri na si kuponda tu hata kwa jema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…