Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Inategemea na wao (dstv) wanapokea signal kutoka tbc zenye ubora kiasi gani na pia wanarusha kwa ubora upi. Kwani quality ya bbc news tunayoangalia kupitia azam tv ndo wanayopata wanaoangalia huko England na Ulaya kwa ujumla? Kama ndiyo basi BBC wana quality mbovu mno.Kwa hiyo TBC iliyopo Dstv ni isiyokuwa HD?