Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Sijajua kwa DSTV ila kwa startimes ndo iko hivyoKwa hiyo TBC iliyopo Dstv ni isiyokuwa HD?
TBC Wameonyesha mpira safi kabisa. Hiyo Tv yako ni mbovu au yaki china ebu fanya ununue Tv zinazoeleweka ufurahie mpira.Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.
Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]? maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.
Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.
WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO?
Anazingua tu huyu mimi nimeangalia mpira clear safi kabisa hakuna mawimbi wala chenga za Mchele, clear picture kabisaKweli serikali yetu na taasisi zake zinazingua kwelikweli, ila mtu wa haki anaponda na kutoa pongezi jambo likiwa zuri na si kuponda tu hata kwa jema.
Kanunue DStv uangalie, wabongo nyoso kweli yaan hamna jemaTbc na Hd ni sawa na maji na mafuta
Sawa wewe na wewe fungua HD yako kusanya Kijiji onyesha bure umekatazwa?, wabonyo nyoso hawana jema kila kitu wanaponda kwenye zuri sema basi aah mnaboaTafuta hela, kama kile ulichokiona jana kilikuwa ni HD basi una matatizo kichwani wallah.
Wakasema anaupiga mwingi kwa kuleta burudani nyumbani.Mi nilikerwa na uchambuz hafifu na viashiria vya siasa.Ila pongezi kwa kutuonesha.
Sasa nenda kaangalie Supersport Dstv Pure HD, umekatazwa kwani, wanaokula wali wa bure acha wale bure, wewe hutaki wali wa bure unataka wali wa kulipia kisa mpishi amepigwa na vumbi humwelewi nenda hotelini kalipie ule, kila mtu na chaguo lakehamjakatazwa kuangalia ila kwa ubora ule bora wa picha na sauti wataangalia washamba kama wewe
Wewe Jana haujaangalia mpira TBC, utakua umesimuliwa tu au ulikua unasikiliza kwenye radio tuhujma kama zipi.. tbc hata mavipindi yao qualities za picha na sauti ni za ubabaishaji mtupu
Haya tuambie wewe wa tbc vipi sasa hivi unaangalia Live mechi ya England Vs Iran? Mimi naona kitu mubashara kabisa kupitia SupersportWapiga debe wa Dstv.
Saa 1 Usiku gemu km kawaida wanaonyesha Senegal v NetherlandsLeo vip jmani tbc wanaonesha mech gani ?
Ya saa moja jioni ya Senegal.Leo vip jmani tbc wanaonesha mech gani ?
Hio hawaonyeshi TBC wanaonyesha mechi 28 tu, Dstv wanaonyesha mechi zote 64 hio ndio tofauti ila quality ni HD msiwapake kinyesi TBCHaya tuambie wewe wa tbc vipi sasa hivi unaangalia Live mechi ya England Vs Iran? Mimi naona kitu mubashara kabisa kupitia Supersport
Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.
Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]? maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.
Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.
WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO?
shukrani bossSaa 1 Usiku gemu km kawaida wanaonyesha Senegal v Netherlands
View attachment 2423198
Angalia sahizi TBC1 wanaonyesha quality mbooovu ile sio HD nimetoka kabisa sitaki kuangalia,Kwa walioangalia kupitia AZAM, TBC walikuwa na QUALITY sawa na SUPERSPORTY kabisa.
Angalia sasa hivi quality mbooovu mpira wa Senegal v Netherlands wanaonyesha ila sio HD, mawimbi kibaoHapana camera mbona zipo bomba tu .nimeangalia qatar vs equador mpira safi picha zinaeleweka kabisa wala hakuna kokoro.