Tulioangalia mpira kupitia TBC

Tulioangalia mpira kupitia TBC

Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.

Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]? maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.

Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.

WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO?
TBC Wameonyesha mpira safi kabisa. Hiyo Tv yako ni mbovu au yaki china ebu fanya ununue Tv zinazoeleweka ufurahie mpira.
 
Kweli serikali yetu na taasisi zake zinazingua kwelikweli, ila mtu wa haki anaponda na kutoa pongezi jambo likiwa zuri na si kuponda tu hata kwa jema.
Anazingua tu huyu mimi nimeangalia mpira clear safi kabisa hakuna mawimbi wala chenga za Mchele, clear picture kabisa
 
Tafuta hela, kama kile ulichokiona jana kilikuwa ni HD basi una matatizo kichwani wallah.
Sawa wewe na wewe fungua HD yako kusanya Kijiji onyesha bure umekatazwa?, wabonyo nyoso hawana jema kila kitu wanaponda kwenye zuri sema basi aah mnaboa
 
Mi nilikerwa na uchambuz hafifu na viashiria vya siasa.Ila pongezi kwa kutuonesha.
Wakasema anaupiga mwingi kwa kuleta burudani nyumbani.

(Kama kasifiwa na huenda anaesifiwa wala hajui kama tbc inaonesha hivyo vitu)
 
hamjakatazwa kuangalia ila kwa ubora ule bora wa picha na sauti wataangalia washamba kama wewe
Sasa nenda kaangalie Supersport Dstv Pure HD, umekatazwa kwani, wanaokula wali wa bure acha wale bure, wewe hutaki wali wa bure unataka wali wa kulipia kisa mpishi amepigwa na vumbi humwelewi nenda hotelini kalipie ule, kila mtu na chaguo lake
 
hujma kama zipi.. tbc hata mavipindi yao qualities za picha na sauti ni za ubabaishaji mtupu
Wewe Jana haujaangalia mpira TBC, utakua umesimuliwa tu au ulikua unasikiliza kwenye radio tu
 
Leo vip jmani tbc wanaonesha mech gani ?
Saa 1 Usiku gemu km kawaida wanaonyesha Senegal v Netherlands
Screenshot_20221121-160115.png
 
Haya tuambie wewe wa tbc vipi sasa hivi unaangalia Live mechi ya England Vs Iran? Mimi naona kitu mubashara kabisa kupitia Supersport
Hio hawaonyeshi TBC wanaonyesha mechi 28 tu, Dstv wanaonyesha mechi zote 64 hio ndio tofauti ila quality ni HD msiwapake kinyesi TBC
 
Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.

Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]? maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.

Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.

WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO?

Yani ilibidi niangalie movie tu make nilikuwa sielewi ule mpira wa live au midori
 
Kwa walioangalia kupitia AZAM, TBC walikuwa na QUALITY sawa na SUPERSPORTY kabisa.
 
Hapana camera mbona zipo bomba tu .nimeangalia qatar vs equador mpira safi picha zinaeleweka kabisa wala hakuna kokoro.
 
Kwa walioangalia kupitia AZAM, TBC walikuwa na QUALITY sawa na SUPERSPORTY kabisa.
Angalia sahizi TBC1 wanaonyesha quality mbooovu ile sio HD nimetoka kabisa sitaki kuangalia,
 
Hapana camera mbona zipo bomba tu .nimeangalia qatar vs equador mpira safi picha zinaeleweka kabisa wala hakuna kokoro.
Angalia sasa hivi quality mbooovu mpira wa Senegal v Netherlands wanaonyesha ila sio HD, mawimbi kibao
 
Back
Top Bottom