Tulioanza shule mapema tukutane hapa.

Tulioanza shule mapema tukutane hapa.

Mbona kawaida watoto now days kuanza shule wakiwa na 5yrs
 
Jaman Avatar mwanzisha uzi c anacfia walioanaa shule mapema au

Sasa jiwe unajua inichanganyapo mimi ulipo sema kuchelewa shule ukawahi maisha kwanza! Ndio nikashangaa hapo shule gani yaani level gani uzungumziayo hapo!!! Undergraduate /postgraduate???

Sidhani mtoto wa primary anauwezo wakufikiria ivyo, labda kama ulienda MMemkwa ukiwa mhenga uliekomaa vizuri
 
Maendeleo ya mtoto utayajua ndio, lakini hujui hayo maendeleo uyaonayo inamghalimu mwalimu kiasi gani kufanikisha icho akipatacho
 
Aim yako hasa ni nini? Kujipongeza, kulalama, kutetea au kujiona bora? Watu waliosoma enzi za sixties wote walianza shule na umri huo hasa shule za kanisa katoliki wakati huo shule nyingi zilikuwa private na watu walilipa fees. Kama umesoma shule za UPE na umri huo, pole. Au Lumumba ilikupeleka IST?
Hata kabla ya 60s..
Well, you tell us!!! Ahsante
 
Sasa jiwe unajua inichanganyapo mimi ulipo sema kuchelewa shule ukawahi maisha kwanza! Ndio nikashangaa hapo shule gani yaani level gani uzungumziayo hapo!!! Undergraduate /postgraduate???

Sidhani mtoto wa primary anauwezo wakufikiria ivyo, labda kama ulienda MMemkwa ukiwa mhenga uliekomaa vizuri
[emoji1] [emoji1] ujue nimecheka sana mleta uzi mwenyewe ajawa specific kuwai shule kwenye level ipi
 
Back
Top Bottom