Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 122
Jamani tuelezane chochote unachojua jamaa tuambizane mambo muhimu kuhusu hostels, je zipo na ada na je kunachochote tutatakiwa kwenda nacho siku ya kufungua chuo mimi niliulza lakini wakasema watanitumia email lakni email walituma bila kufunguka wananikaribisha tu.