KERO Tuliochangia Mfuko wa PPF, hiki KIGEZO kinatupa umasikini

KERO Tuliochangia Mfuko wa PPF, hiki KIGEZO kinatupa umasikini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

KITUNDA_CENTRE

New Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Ni Watanzania wengi ambao bado tuna michango yetu katika Mfuko wa PPF kabla ya kuunganishwa katika mfuko mmojs ns mifuko mingine kadhaa kuwa PSSSF, licha ya kwamba tumechangia pia NSSF.

Sasa endapo, umekosa Ajira na kupata malipo ya 33.3% ya mshahara wako wa Mwisho wa Six month (Lump sum) na kutakiwa kusubiri miezi 18, means kama your final salary, TZS 2M , NSSF watakupa malipo ya TZS 3,996,000 , ambazo unatakiwa uzitumie ndani ya miezi 24, means kila Mwezi matumizi yako yasizidi TZS 166,500.

Kama una michango mfuko mwingine, Pia hawakupi, mpaka NSSF wakulipe Michango yako yote.

Hii imekuwa changamoto sana, na inasononesha sana, maisha mitaani ni magumu, hata hicho tulichongangia kwa hiyari, unanyanyaswa nacho.
 
Back
Top Bottom