Tuliochoshwa na Taifa Stars pamoja na Usimba na Uyanga huku tukiiombea Kesho ifungwe Benin tafadhali tujitokeze tujuane

Tuliochoshwa na Taifa Stars pamoja na Usimba na Uyanga huku tukiiombea Kesho ifungwe Benin tafadhali tujitokeze tujuane

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kesho navalia kabisa na Jezi yangu ya Benin hivyo mliopo katika Kibanda Umiza Tegeta Nyuki ole wenu Kesho mniguse mtanitambua.

Na nimetoka kupata Mkanda wangu Mweusi wa Karate pale kwa Warusi Sea View Upanga na kwa Mwezi sasa Kocha wake Twaha Kiduku alikuwa akinifundisha Kupiga Ngumi za Kujeruhi na Kumuwahisha Mtu Mochwari.

Tusilazimishane Kushangilia Taifa Stars Kesho ikicheza na Benin huko Jijini Cotonou kwani Mightier siwezi Kushangilia Timu ya Taifa yenye Michezaji mingi Mibovu kutoka Yanga SC kama Bakari Mwamnyeto, Feisal Salum ( Fei Toto ), Kibwana Shomary na Zawadi Mauya bora kidogo kwa akina Dickson Job na Farid Musa.

Kila Ia Kheri Benin mtufunge Tanzania!!!
 
Kama nchi ipi, labda North Korea tu,
Wazalendo wanalalamikia matokeo mabovu ya timu zao za taifa na sio kuziombea zifungwe! Ni sawa na nchi yako kuwa vitani halafu ukaiombea ishindwe vita! That's treason and you should be treated accordingly! Nchi yoyote adhabu yake inajulikana. Tena ni moja tu!!!!!!?
 
Kifupi team ya taifa inakera na haina matumain ya kudumu ni zima Moto Tu hata maandaliz ukizingatia hata kikosi kinavyoitwa usimba na uyanga umewajaa kero kuwa bench la ufundi linaingiliwa zimezoeleka mgawanyo wa majukum hamna kabisa kila mtu anajitia kocha na wachezaji wenyewe hawajui thamani ya jezi ya taifa yaani utopolo mtupu kikubwa tuna safari ndefu Sana
 
Sasa kama mashabiki wa timu fulani wanawadhihaki wa timu nyingine ilhali wote wanachezea taifa moja unafikiri kutakuwa na uzalendo kweli.

Hata mimi naona afadhali wafungwe tu kwa sababu watu wamezidisha ushabiki wa kijinga sana.
 
Kesho navalia kabisa na Jezi yangu ya Benin hivyo mliopo katika Kibanda Umiza Tegeta Nyuki ole wenu Kesho mniguse mtanitambua.

Na nimetoka kupata Mkanda wangu Mweusi wa Karate pale kwa Warusi Sea View Upanga na kwa Mwezi sasa Kocha wake Twaha Kiduku alikuwa akinifundisha Kupiga Ngumi za Kujeruhi na Kumuwahisha Mtu Mochwari.

Tusilazimishane Kushangilia Taifa Stars Kesho ikicheza na Benin huko Jijini Cotonou kwani Mightier siwezi Kushangilia Timu ya Taifa yenye Michezaji mingi Mibovu kutoka Yanga SC kama Bakari Mwamnyeto, Feisal Salum ( Fei Toto ), Kibwana Shomary na Zawadi Mauya bora kidogo kwa akina Dickson Job na Farid Musa.

Kila Ia Kheri Benin mtufunge Tanzania!!!
Kuanzia lini Mnyarwanda akaipenda Tanzania na kuiombea mema?
 
Back
Top Bottom