Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
DuuhDah! Niliacha pombe 2015.
Wadau hawakuamini, lakini ilibidi wakubali matokeo hadi sasa.
Ilikuwa nikipitisha siku bila kunywa moyo unauma na kusononeka. Ila kwasasa si mtumwa wa pombe tena.
Substitute ya pombe ni nini?Dah! Niliacha pombe 2015.
Wadau hawakuamini, lakini ilibidi wakubali matokeo hadi sasa.
Ilikuwa nikipitisha siku bila kunywa moyo unauma na kusononeka. Ila kwasasa si mtumwa wa pombe tena.
Asante Mkuu,Hongera Mkuu Kwa Jitihada Za Kusoma Bible Na Kutafuta Mahubiri Hii Itakusaidia Me Leo Nakupa Blog Moja Ambayo Utakula Na Kunywa Kiroho Ni Www.Sanga.Wordpress.Com Mimi Hii Nimeijua 2014 Namshukuru Mungu Imenijenga Kiroho Pia Youtube Kuna Mahubiri Ya Walim Kama Mwakasege , Benin ,pastor Chris Nk Fb Unaweza Like Page Ya Mwl Nikk, Peter Mabula, Mwl Cornad Cowel, Abel Suleiman Shiriwa, Mwl Dickson Kabengula , PAMOJA KATIKA KUUTEKA UFALME WA MBINGUNI viva 2018