Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Nashukuru Mungu baada ya kuangaika na pombe nikinywa hasubuhi naunwa kichwa na sa nyingine natapika usiku saizi safii napiga kiriku zangu za kilimanjaro mambo safi hasbuhi kama skunywa pombe .saiz mambo safi