are u a university student????pole sana kijana
wasomi wetu hawa ndo wanaenda vyuo vikuu sasa,
Asante pia mkuu kwa kuliona hilo.....vijana wa jukwaa hili wamekua wakiniona siwajibu vizuri laki yote hiyo ni kutokana na uandishi wao mbovu ambao hauvutii na hauendani na level ya elimu waingiayo