Tuliofanikiwa kupata transfer za TCU

Tuliofanikiwa kupata transfer za TCU

We mjibu mtu alicho uliza sepa co unajfanya unajua kuwakosoa watu hujisikii au huna point ya kusema kaa kushoto, mtu unaleta ufala kama hii forum umeitengeza ww bwana.
 
wasomi wetu hawa ndo wanaenda vyuo vikuu sasa,

Asante pia mkuu kwa kuliona hilo.....vijana wa jukwaa hili wamekua wakiniona siwajibu vizuri laki yote hiyo ni kutokana na uandishi wao mbovu ambao hauvutii na hauendani na level ya elimu waingiayo
 
Asante pia mkuu kwa kuliona hilo.....vijana wa jukwaa hili wamekua wakiniona siwajibu vizuri laki yote hiyo ni kutokana na uandishi wao mbovu ambao hauvutii na hauendani na level ya elimu waingiayo

eti., are u a university student?kama wewe na type hii ya uandishi una-survive nasi pia njia nyeupe
 
mimi niliomba ila sijapata taarifa yoyote mpaka sasa nikiangalia kwenye page ya tcu naona za vyuo vya afya tu je? wengine bado hazijatoka
 
Back
Top Bottom