Wengine ndio tumetoka shift za usiku, muda huu tuko free.huu sio muda wa kupiga porojo watu wapige kazi
mlale wazeeWengine ndio tumetoka shift za usiku, muda huu tuko free.
Kupiga porojo ni waste of time huo muda mfanye shughul za kimaendeleoPorojio muhimu kwa Afya ya akili Chanya
Tanzania ukilala hata dakika 10 unaweza kupitwa na mengi. Acha tukomae, tutapumzika tukifa.mlale wazee
Hahaha mnaikosa Ile point of lifeTanzania ukilala hata dakika 10 unaweza kupitwa na mengi. Acha tukomae, tutapumzika tukifa.
Kagongwa MBELE kahama NYUMA,Nimekumbuka miakaile wanatengeneza barabara ya Tinde to Nzega, Tinde to Isaka Kagongwa hadi Kahama, Tinde to Shinyanga..... jamaa walifanya kazi nzuri sana, sasa kuna Driller and Blaster mmoja shombe wa kihindi alikua ndio kaacha kazi Kakola/Bulyanhulu enzi hizo alikua anatusumbua sana akija kututembelea....
R.i.P Ngingi bishoo..πͺ
R.iP Manyala..πͺ
R.i.P Side grenade...πͺ
Wapi Mdachi...
Wapi Kimbunga....
Wapi Jamaa....
Kijana humu hatufanani,wengine tupo kwenye stage ya kutumia tu tulichokitafuta ujanani,Kupiga porojo ni waste of time huo muda mfanye shughul za kimaendeleo
Achana nae atakuumiza kichwa, wengine ndo kwanza tupo njiani tunaelekea BarKijana humu hatufanani,wengine tupo kwenye stage ya kutumia tu tulichokitafuta ujanani,
Pesa ina flow tu kwenye mitego yake,kazi sio lazima iwe kuponda kokoto au kuchimba shimo,
Sasa wewe tuige sisi ili uone moto wa maisha.
Hahaha,Kijana humu hatufanani,wengine tupo kwenye stage ya kutumia tu tulichokitafuta ujanani,
Pesa ina flow tu kwenye mitego yake,kazi sio lazima iwe kuponda kokoto au kuchimba shimo,
Sasa wewe tuige sisi ili uone moto wa maisha.
HIyo itakuwa ni kipindi cha JKNimekumbuka miakaile wanatengeneza barabara ya Tinde to Nzega, Tinde to Isaka Kagongwa hadi Kahama, Tinde to Shinyanga..... jamaa walifanya kazi nzuri sana, sasa kuna Driller and Blaster mmoja shombe wa kihindi alikua ndio kaacha kazi Kakola/Bulyanhulu enzi hizo alikua anatusumbua sana akija kututembelea....
R.i.P Ngingi bishoo..πͺ
R.iP Manyala..πͺ
R.i.P Side grenade...πͺ
Wapi Mdachi...
Wapi Kimbunga....
Wapi Jamaa....
Kama ni miaka ya 2000s hizo barabar a hazijajengwa na Strabag bali ni wachina. Strabag alijenga Ushirombo-Nyakanazi-LusahungaNimekumbuka miakaile wanatengeneza barabara ya Tinde to Nzega, Tinde to Isaka Kagongwa hadi Kahama, Tinde to Shinyanga..... jamaa walifanya kazi nzuri sana, sasa kuna Driller and Blaster mmoja shombe wa kihindi alikua ndio kaacha kazi Kakola/Bulyanhulu enzi hizo alikua anatusumbua sana akija kututembelea....
R.i.P Ngingi bishoo..πͺ
R.iP Manyala..πͺ
R.i.P Side grenade...πͺ
Wapi Mdachi...
Wapi Kimbunga....
Wapi Jamaa....
Kama sijasahau ilikua 2006Hiyo i
HIyo itakuwa ni kipindi cha JK