Tuliofanya kazi STRABAG karibu tupige porojo

Kama ni miaka ya 2000s hizo barabar a hazijajengwa na Strabag bali ni wachina. Strabag alijenga Ushirombo-Nyakanazi-Lusahunga
Tulia kijana.....
Kazi ya barabara kuanzia Kanegere, Masumbwe, Bukombe, Ushirimbo, Runzewe, Nyakanazi hadi Lusahunga ilikuja kujengwa kwenye awamu ya pili miaka ya 2009/2010.
Mchina alichukua kazi ya kuanzia Kagongwa karibia na Kahama, Manzese hadi Kanegele
 
TINDE to NZEGA ni GRINAKER LTA...Mkaburu.....huyo shombe namkumbuka...kuna Blasting moja kubwa sana sana alifanya ya kulipua mlima mkubwa wa mawe...matangazo yalifanyika siku kadhaa kabla ...baadhi ya wazee walihamishwa..kuepusha mshtuko.....
Baada ya hiyo Blasting..Shombe alipata ujiko wa kutosha..kwa Kampuni...mademu nakadhalika wa kadha.....
RIP Major C Magere.
 
Upo sawa kabisa mkuu....
Hivi kumbe Major Magere alisha nga'ta shuka....😮‍💨
 
ilikuwa pikali inayokimbiza sana hapo...... katoa sana huduma kwa waliotengeneza hiyo barabara
Ngojea nivute kumbukumbu...naanza kukumbuka Kishosha Guest House....
Mademu ninaowakumbuka ni Khadija mtoto wa kiarabu...(mwarabu wa Tinde) alikuja kuwa chakula ya Boss Walter,,,mwingine ni Esta..alikuja kufungua Bar chini ya mti mkubwa pale njia panda,,,,,,mwingine Salome alikuwa na matako fulani mashalah mashalah....mwingine Eugenia huyu alitokea mgodi fulani akapata kazi ofisini......Huyu Natasha bado navuta kumbukumbu usikutee.....!!!!
 
Nadhani ni huyo khadija maana hata Natasha sio jina lake halisi!!!! ni shombe fulani hivi aliyegoma kuzeeka......
Sasa huyu nadhani mlikuwa mkipanga foleni hapo.......
Nilikutana naye nilikuwa na ki project hapo tinde nasimamia tukatokea kuelewana basi akawa ananipa story enzi hizo hiyo barabara na isaka kipindi iko moto bandari inafanya kazi.
 
Mashallah mashallah...atakuwa ni huyo....vp mnada bado ni siku ya jumanne??
Nakumbuka mbuzi zilikuwa ghali kuliko kondoo...sasa wazungu wanapenda kondoo kuliko mbuzi...ghafla bei ikabadilika......kondoo nyama ikawa haishi kiki.....
 
Mashallah mashallah...atakuwa ni huyo....vp mnada bado ni siku ya jumanne??
Nakumbuka mbuzi zilikuwa ghali kuliko kondoo...sasa wazungu wanapenda kondoo kuliko mbuzi...ghafla bei ikabadilika......kondoo nyama ikawa haishi kiki.....
Basi kajitunza sana,,, pamoja na kufanya hiyo kazi hajachoka kivile!!!! Mnada upo kama kawaida jumanne siku hizi ni sehemu ya outing, wa shy kahama wanaenda kuchoma nyama na kunywa beer.
unamjua mbunge wa shinyanga vijijini hebu jaribu ku search picha yake useme neno maana inasemekana ndio hilo group.
 
NGOJA NIMCHEKI CHAP KWA HARAKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…