Tuliofeli kidato cha 4 tukutane hapa

Tuliofeli kidato cha 4 tukutane hapa

Tulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa..


Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super .


Walio nicheka, wananiangalia kwa aibu sahivi.
Kufeli form 4 ina maana ulipoteza mda wako wote wa miaka yako minne shuleni! Si jambo lakujivunia hata kdg na hata kama umetoboa kimaisha.... Failures wengi mnakuaga mnavisirani flan kwa waliosoma na hata huku makazini tunawaona wanapiga kazi sana lakini ndo mnaoongoza kufanya vitu unprofessional na fitna kwa sana...
 
Back
Top Bottom