Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kakutanen na musukuma kashekuSisi wa la saba tukutane humuhumu au tuanzishe uzi wetu?
Tuanzishe uzi wetu.Sisi wa la saba tukutane humuhumu au tuanzishe uzi wetu?
Duh jf bwana..nakumbuka majuzi umelalamika umeajiriwa mshahara unaishia katikati ya mwezi🤭Tulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa..
Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super .
Walio nicheka, wananiangalia kwa aibu sahivi.
Kuna tofauti kubwa sana mwenye Elimu asiye na pesa na mwenye pesa asiyekua na Elimu!Tulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa..
Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super .
Walio nicheka, wananiangalia kwa aibu sahivi.
mkuu kumekucha sio kwa username hyo.Kuna tofauti kubwa sana mwenye Elimu asiye na pesa na mwenye pesa asiyekua na Elimu!
FYI! Ni kwamba tunasoma sio lengo letu kapata pesa,lengo ni kua na exposure ya maisha,kuweza kuendesha maisha in the soft way,tofauti na wewe unadhani kusoma ni kuja kua na pesa au tariji mkubwa!
FYI! Ni kwamba, Matajiri wengi duniani wana wana Elimu,ndiyo maana wana endelesha makampuni yao! Wasio kua na Elimu kampuni zao,hua haziendi mbali,hua zinakuja kufa kibudu tu!
Nenda Shinyanga uliza tajiri mmoja alikua anaitwa Paul Ng'hwani alikua na malori Pulling siku hizi mnayaita Semi kichanja,yalikua yameandikwa Neema ya Mungu,uliza yaliishia wapi! Nenda Kahama kaulize Charles Masuka,Paul Msimba na SAS wako wapi siku hizi?? Nenda shule acha ujinga! Elimu ndiyo itakufanya uwe na wigo mpana wa kudadavua mawazo!
Mkuu; maisha ni safari ndefu yenye milima, mabonde na miiba.Tulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa..
Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super .
Walio nicheka, wananiangalia kwa aibu sahivi.
Vibajaji wa jf[emoji851][emoji851][emoji851] kuna watu wana hila humu jf mkuu , wanataka tuvuane tu nguo
Sawa mkuumkuu kumekucha sio kwa username hyo.
Hiyo ndoo JF bwana ,anafikiri yuko mwenyewe kwenye forumDuh jf bwana..nakumbuka majuzi umelalamika umeajiriwa mshahara unaishia katikati ya mwezi[emoji2960]
SAS watoto wake wanaiendesha vizuri tu godown zake zimekodiwa na tumbaku na ana maroli mengi tu,.Kuna tofauti kubwa sana mwenye Elimu asiye na pesa na mwenye pesa asiyekua na Elimu!
FYI! Ni kwamba tunasoma sio lengo letu kupata pesa,lengo ni kua na exposure ya maisha,kuweza kuendesha maisha in the soft way,tofauti na wewe unadhani kusoma ni kuja kua na pesa au tariji mkubwa!
FYI! Ni kwamba, Matajiri wengi duniani wana Elimu,ndiyo maana wana endelesha makampuni yao! Wasio kua na Elimu kampuni zao,hua haziendi mbali,hua zinakuja kufa kibudu tu!
Nenda Shinyanga uliza tajiri mmoja alikua anaitwa Paul Ng'hwani alikua na malori Pulling siku hizi mnayaita Semi kichanja,yalikua yameandikwa Neema ya Mungu,uliza yaliishia wapi, Mabasi ya Mombasa Raha,Malori ya Nchambi's, Mabasi ya Mohammed yako wapi?? Nenda Kahama kaulize Charles Masuka,Paul Msimba na SAS wako wapi siku hizi?? Nenda shule acha ujinga! Elimu ndiyo itakufanya uwe na wigo mpana wa kudadavua mawazo!
Nadhani pia wana plant kahama hao unaowataja!SAS watoto wake wanaiendesha vizuri tu godown zake zimekodiwa na tumbaku na ana maroli mengi tu,.
Hao Mombasa raha zile bus zilikua za dada mtu aliekua akiishi uingereza baada ya kufa kaka zake waliuza hizo gari kwa Ally's na wao kuendelea na biashara ya maroli na mpk wako vizuri huku wakikodi ginery na wanatenda ya kubeba mizigo ya olam.
Mohamed baada ya kufa mke na watoto waliwekeeza zaidi kwenyebiashara ya kununua almas na dhahabu.
Unachanganya sana maboya! Hujui kitu!SAS watoto wake wanaiendesha vizuri tu godown zake zimekodiwa na tumbaku na ana maroli mengi tu,.
Hao Mombasa raha zile bus zilikua za dada mtu aliekua akiishi uingereza baada ya kufa kaka zake waliuza hizo gari kwa Ally's na wao kuendelea na biashara ya maroli na mpk wako vizuri huku wakikodi ginery na wanatenda ya kubeba mizigo ya olam.
Mohamed baada ya kufa mke na watoto waliwekeeza zaidi kwenyebiashara ya kununua almas na dhahabu.
Hahahaha jamanikakutanen na musukuma kasheku
Imeisha hiyo🤣🤣🤣Tuanzishe uzi wetu.
Huwezi kupata Division Zero Shuleni halafu ukawa na maisha mazuri Mtaani, labda ufanye Ujambazi, au uwe Mshirikina..Tulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa..
Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super .
Walio nicheka, wananiangalia kwa aibu sahivi.