Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
🤓🤓🤓 kuna watu wana hila humu jf mkuu , wanataka tuvuane tu nguocc Holy Man watu leo wana nini?
hahaha hahaUnatuita Kuna mchongo au kuchoreshana tu?
Utakulaje zero, sema "ulitaga" hongera kwa mafanikioTulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa..
Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super .
Walio nicheka, wananiangalia kwa aibu sahivi.
Wasomi wenyewe nawafundisha kazi, kuandika barua tu ya maombi ya kazi, kipengele,Kwahiyo kama utafungua ofisi yako utaajiri walio feli kama wewe au utaajiri wasomi?
Kufeli form 4 ina maana ulipoteza mda wako wote wa miaka yako minne shuleni! Si jambo lakujivunia hata kdg na hata kama umetoboa kimaisha.... Failures wengi mnakuaga mnavisirani flan kwa waliosoma na hata huku makazini tunawaona wanapiga kazi sana lakini ndo mnaoongoza kufanya vitu unprofessional na fitna kwa sana...Tulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa..
Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super .
Walio nicheka, wananiangalia kwa aibu sahivi.