Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa walikufundisha level ya degree au Masters?1. Profesa Ndaalio- Chemistry dept CH114 and CH 220
2. Dr. Tibanyendera CH114 and CH220
3. Prof Khan Organic chemistry
4. Dr. MtotoMwema.......................Botany
5. Dr. Chamungwana.... DSS
6. Prof Ishumi....Education
endelea
BSc..................Hawa walikufundisha level ya degree au Masters?
Hawa sikuwaona/sikuwahi kuwasikiaDr.Chegere
Dr.Kalamagi
Wakati Profesa Ndaalio ananifundisha CH114 na CH220 Dr. Tibanyendera alikuwa TA! Nanyaro alikuwa Head of Geology Dept.1. Profesa Ndaalio- Chemistry dept CH114 and CH 220
2. Dr. Tibanyendera CH114 and CH220
3. Prof Khan Organic chemistry
4. Dr. MtotoMwema.......................Botany
5. Dr. Chamungwana.... DSS
6. Prof Ishumi....Education
endelea
Walitufundisha kula janiDr. Taletale
Dr. Msukuma
Exactly, alikuwa anajua sana pysical chemistry, it was very enjoyable. alikuwa anaandika notes kabisa ubaoni, kama secondary. Unaelewa, na mimi nikaipenda chemistry, nikaielewa na mpaka leo I can boast I know chemistry!Retired ahaaaa umenikumbusha rnzi za UDSM. Prof Ndaalio alitufundisha CH114. Alikuwa mwalimu mzuri lakini alikuwa anakamata sana. Somo lake la Physical Chemistry CH114 alilimudu sana. RIP Prof.
Exactly, sidhani kama sasa kuna walimu kama hao. Forland na mkewe walitunga vitabu vya practicals ambavyo tulikuwa tunavitumia. Walikuja wakatusalimia na kujitambulisha kuwa ndio waliandika practicals hizo za CH114/CH220. Tuliwashangilia sana.Wakati Profesa Ndaalio ananifundisha CH114 na CH220 Dr. Tibanyendera alikuwa TA! Nanyaro alikuwa Head of Geology Dept.
Daah! Hiyo ni long time!
Huyu alikuwa nyuma yangu miaka miwili. He was very bright! Alipobaki pale sikushangaa! Very hard workingProf. Buchweshaija, Joseph
hapana maana ulikuwa hujazaliwa!Na sisi wa so called Vyuo Kata Tunaruhusiwa?