KERO Tuliohitimu chuo kikuu cha Iringa mwaka 2024 hatujalipwa pesa za refund

KERO Tuliohitimu chuo kikuu cha Iringa mwaka 2024 hatujalipwa pesa za refund

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Chuo Kikuu cha Iringa mpaka leo hii hatujalipwa fedha zilizozidi sababu tukiwa mwaka wa 2 serikali iliongeza ada kwa sisi wanufaika wa mkopo na wakati tulikuwa tushalipa tukaahidiwa na chuo tukimaliza mwaka wa 3 tutapata pesa zetu lakini mpaka leo hii inaenda mwezi wa 4 hakuna na barua tulishaandika.

Ajira zimekuwa ngumu hiyo pesa ningeifanya mtaji ili niweze kujikwamua. Kiasi nachodai ni zaidi ya laki mbili.
 
Back
Top Bottom