Chuo Kikuu cha Iringa mpaka leo hii hatujalipwa fedha zilizozidi sababu tukiwa mwaka wa 2 serikali iliongeza ada kwa sisi wanufaika wa mkopo na wakati tulikuwa tushalipa tukaahidiwa na chuo tukimaliza mwaka wa 3 tutapata pesa zetu lakini mpaka leo hii inaenda mwezi wa 4 hakuna na barua tulishaandika.
Ajira zimekuwa ngumu hiyo pesa ningeifanya mtaji ili niweze kujikwamua. Kiasi nachodai ni zaidi ya laki mbili.