Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Mimi ni boss wa Jf kazi yangu ni kutoa assignment and get things done.
1.Nitapost kitu nisubirie responses kwa watu(Business plan in action)
2.Maudhui yangu ndiyo yataamua wachangiaji(Business marketing)
3.More responses will sell you in business industry and get profit
4.The more profit you made the more you invest
5.Nitahakikisha sipitwi na taarifa yoyote wala uzi wowote hasa kwa Icon members like Mshana Jr, Mtibeli, bila kumsahau Binti wa Zamani, Secretarybird and their derivatives na wengine kibao wote wakiwa kwenye viunga vya Jf.
6.Usiku ukifika nitapitia kila uzi kuhakikisha nimelike kila mtu hiyo ndo kazi yangu maana ni Boss a.k.a overall incharge.
Sijui hata nimeandika nini wadau