Hahahaaaaaaaa mkuuu nimecheka kama mazuriii mkuu, poole sana mkuu. "Mashenji sana amashinho genayo"[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]2018 ni mwaka stausahau!nilima mpunga mpanda heka3 na ulistawi poa tu ila....narudia tena ila kuna haya matakataka TEMBO yaliutafuna na kuukanyagia matopeni!tangu siku hio tembo ndio kiumbe nambari moja nayemchukia shenji gete amashino genayo ehaha nalechola ngongh'o nabhasange nyane bhenabha!ila kilimo kinatoa wakuu#obheja
Mkuu huko mifumo ya maji imekaaje? Vip upatikanaji wa mashambaNalimia kapunga mashamb ya nje ya mradi wa mwekezaji
Hahah!lekaga do ongw'a bhabha,yaan kama muda wako hujafika hata ufanye nin znakuwa harakat za pimbi...ila eligembe nsabho#obhejaHahahaaaaaaaa mkuuu nimecheka kama mazuriii mkuu, poole sana mkuu. "Mashenji sana amashinho genayo"[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umeielewa au na ww umeipaste tu hapa??In every project double your expenses and half your projections hapo utawezana na mradi, nimeikuta mahali.
Na ndiyo maana wafanyabiashara wanachukua mzigo kwa dalali,Kuongea ni rahis sana ingia field uone utamu wake. Unakodi eneo unaweka matikit then unakod gari unaanza kusambaza una mzigo fuso limejaa ukifika kwa wanunuzi mtaani anakwambia nachukua matikit 15, anaenda kwa mwingine anachukua 6, mwingine anataka mkopo. Kadri siku zinavyoenda yapoteza ubora wakati huko na we gharama zinazidi za kukaa Dodoma pamoja na za kusambaza mzigo.
Hahahaaa hecheneko bhabha, kitu kutokukata tamaaaHahah!lekaga do ongw'a bhabha,yaan kama muda wako hujafika hata ufanye nin znakuwa harakat za pimbi...ila eligembe nsabho#obheja
Sawa gete nkwingwa...tukazane tu kwa kwlHahahaaa hecheneko bhabha, kitu kutokukata tamaaa
Ulijichanganya mwenyewe,kua na pesa na kwenda shambani hai ku qualify kua MKULIMA,ekari 40 kwa 10m ni wastani wa 250,000tsh kwa ekari moja,hapa gharama zako binafsi sijazitoa...,hebu nipe mchanganuo wa hiyo 250,000 ilifanya nini na nini na ilitosha vipi kwenye ekari moja na ulichokua unategemea kuvuna?,Mimi nililima hekari 40 za mpunga Ifakara (signal). Nilitumia milioni kumi lakini nilikuja kuvuna gunia 14 tu. Na hizo gunia 14 ndiyo pesa ya vibarua; mfano kukata, kukusanya, kupiga kupepeta, kununua viroba. Kwa ufupi ziliishia humo tu.
Niliambulia kupata gunia moja la mpunga nikakoboa nikapata mchele kilo 70. Kesho yake nikapanda basi kurudi Dar Nikawaletea chakula tu kilichopatikana. Nipo Ilala nawaza bora ningefungua duka la spea, ILA YA MUNGU MENGI.
Moyo haujengwi hapa jukwaani wala kwenye simu mkuu,chagua utachokitafiti vizuri kabisa alafu ingia field,changamoto utazokutana nazo ndo zitakujenga na baada ya muda utakuja kutufundisha hapaNa mimi ndio nataka nianze ila mnanivunja moyo.
Mifumo ya maji ni mzuri sana but upatikanaji wa mashamba ndio ishu unatakiwa uwahi sana coz wengine wanalipia mashamba ata kabla ujavunaMkuu huko mifumo ya maji imekaaje? Vip upatikanaji wa mashamba
Mkuu I'm living that philosophy right now kwaiyo huyo philanthropist ni kama alinilenga mm. Nimeielewa nafanya mradi nawekeza sana at the moment expecting the results later.Umeielewa au na ww umeipaste tu hapa??
Kilimo cha mvua ni aina nyingine ya tatu mzuka, au bikoMimi nililima hekari 40 za mpunga Ifakara (signal). Nilitumia milioni kumi lakini nilikuja kuvuna gunia 14 tu. Na hizo gunia 14 ndiyo pesa ya vibarua; mfano kukata, kukusanya, kupiga kupepeta, kununua viroba. Kwa ufupi ziliishia humo tu.
Niliambulia kupata gunia moja la mpunga nikakoboa nikapata mchele kilo 70. Kesho yake nikapanda basi kurudi Dar Nikawaletea chakula tu kilichopatikana. Nipo Ilala nawaza bora ningefungua duka la spea, ILA YA MUNGU MENGI.
Dah pole Sana mkuuSitakuja kusahau kifo cha rafiki yangu graduate wa UDOM kamaliza chuo kaona akafanye kilimo kusini huko, basi wafugaji wakawa wanapeleka mifugo shambani kwake akawa anagombana nao mara kwa mara, saa ingine akawa anaenda kuwaambia waache kulisha mifugo Yao shambani kwake, jamaa wakamvizia kalala wakamtia sime kafia hospitali. Na wafugaji wana hela hamna aliyechukuliwa hatua.Mungu amlaze mahala pema peponi.