Tulioishia form four tukutane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sina uhakika Kama wapo ambao Ni standard seven naimani members wote angalau tumeionja sekondari japo wapo ambao walituacha wakaendelea na elimu ya juu pamoja na vyuo kuchukua mabachelor huko.so huu Uzi Ni special kwa wale ambao tumeishia form four tukafeli na hatukupata nafasi ya kuendelea mbele ingawaje Sasa hivi inawezekana sisi ndio ma boss kuliko hata Hawa ambao Wana degree.
 
Uzi umeuandika kishari mno, punguza hasira kwanza.
 
Tupoooooo,sema hapa wanajifanya kuwa na mbwembwe wale walioendelea zaidi ya hapo form four. Miongoni mwao wanatukopa sana hasa kuanzia tarehe 19 ya kila mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…