ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sina uhakika Kama wapo ambao Ni standard seven naimani members wote angalau tumeionja sekondari japo wapo ambao walituacha wakaendelea na elimu ya juu pamoja na vyuo kuchukua mabachelor huko.so huu Uzi Ni special kwa wale ambao tumeishia form four tukafeli na hatukupata nafasi ya kuendelea mbele ingawaje Sasa hivi inawezekana sisi ndio ma boss kuliko hata Hawa ambao Wana degree.