Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

People experience and express their anger in a lot of different ways. Some yell, scream, swear, or insult others ( kama alivyofanya). Obviously, the way to respond to different anger expressions will differ kwangu niliona nirespond namna ile.
Na sisi Wengine tunataka Ku express through purging. Some animals need this...
 
Naam,

Mimi niliishia darasa la sita nikaamua kwenda zangu kubeba boksi huko na maisha yanasonga kama kawaida.

Sijawahi lala njaa maishani.
 
People experience and express their anger in a lot of different ways. Some yell, scream, swear, or insult others ( kama alivyofanya). Obviously, the way to respond to different anger expressions will differ kwangu niliona nirespond namna ile.
As an elites we must show our impacts on our societies, may we react as an intelectuals?
 
kweli kabisa, ili aonekane msomi lazima aongee kiingereza kidogo, Nimekupata Chief Mondray
Na hii huwa inanichosha kweli yaani TZ yetu hata uwe na phd bila kiingereza watu hawatakuweka kwenye kundi la wasomi ila kasome hata english koz na ukiporomoshe vizuri kiinglish hata kama umeishia la pili utaonekana msomi tu,
 
Hahaha wacha Nijifunze Ngeli asee
 
Mimi ndo wala sijali.Nimeishia zangu la saba.Na nimekula ndumu za kutosha na sasa maisha burdan, nina mke mzuriiii napapachua tu, sina msongo wa mawazo.Kudaadenye.
 
Mimi ndo wala sijali.Nimeishia zangu la saba.Na nimekula ndumu za kutosha na sasa maisha burdan, nina mke mzuriiii napapachua tu, sina msongo wa mawazo.Kudaadenye.
Daah Big up mwana.. life mwororo
 
Si mchezo . unavua na wigi unaweka pembeni unabaki real you[emoji13][emoji13][emoji13]
Hahahaa.. umenikumbusha Mbali mwaka fulani tulikuwa tukifanya Paper la Mt271 pale theatre II (udsm).. dada mmoja alikaa pembeni yangu nikashangaa anaanza kutetemeka.. majasho hayo mpaka nikaogopa hazikupita dakika tano akazimia.. Chuo sio Mchezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…