mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
😳😳😳🤣🤣jf mnafurahisha sanaWewe unauliza kama nani?? Fala tuu !!
Kaliwe jicho maana naona unawashwa.
Shwain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳😳😳🤣🤣jf mnafurahisha sanaWewe unauliza kama nani?? Fala tuu !!
Kaliwe jicho maana naona unawashwa.
Shwain
Wewe unauliza kama nani?? Fala tuu !!
Kaliwe jicho maana naona unawashwa.
Shwain
Safi sana mkuu,kufeli shule sio kufeli maishaMimi nilimaliza la saba kwa mbinde sana na kufeli juu yake...
Ila namshukuru Mungu nimeajiri wasomi wa juu kabisa kwenye Shuhuli zangu na maisha yanaenda [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Technical KOshwain
Cute b aka slay queen kumbe una vijamatusi vya reja reja ehh subiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Technical KO
Si unajua sisi ni wa vyuo vikuu . kule tunajifunza kila kitu.Cute b aka slay queen kumbe una vijamatusi vya reja reja ehh subiri
Akili za jiwe hz
Chuo kikuu raha sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hapo hata mwezi hauishi vizuri unapokea boom la pili. Kama vile unafanya kazi bhana.[emoji119][emoji119]Yani acha tu, nakumbuka unawahi kufika chuo alaf usiombe mpate boom mapema na masomo bado hayajaanza kuchanganyia, hakuna class alaf mna pesa, full kushinda mjini. Yani hayo maisha yalikua poa sana, no stress no shida ndogo ndogo.
Umemwambia mwenzio akaliwe jicho[emoji85] ,Si unajua sisi ni wa vyuo vikuu . kule tunajifunza kila kitu.
Ila TKO siyo tusi buanaaaa
Halafu hapo hata mwezi hauishi vizuri unapokea boom la pili. Kama vile unafanya kazi bhana.[emoji119][emoji119]
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Technical KO
Humo humo mkuu kwani wewe hupigi kazi za kijamii wewe ni group letu mkuuNa mie darasa la Pili je???
pamoja sana mkuu..Humo humo mkuu kwani wewe hupigi kazi za kijamii wewe ni group letu mkuu
Vyeti vimekusaidia lakini au na wewe umeajiriwa na la sabaThose were the good times. Yani kama ulisoma chuo alaf hukuweza kula good time mtu utakua uli miss a lot. Masomo yalikua hayaendi nikijua nna pesa kwenye account, natumia mpaka zibak za matumiz kidogo kidogo ndio nakaa vzur sasa nisome. Nimemiss sanaa.