Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Mkuu, najua umeweka ukingo wa madarasa kwenye kuchangia huu Uzi lakini kwa ujumla maisha ya shule ni yenye viroja sana. Samahani kama nitakuudhi kwa hili.

Kuna mwanangu mmoja nilifahamiana naye kidato cha ii, huyu jamaa alikuwa kiboko. Darasa zima rafiki yake alikuwa ni mimi tu, mimi nilikuwa na Afro ila lake lilikuwa kubwa zaidi. Alikuwa na mwili mkubwa ule ambao juu mnene halafu kwa chini wa kawaida A.K.A "carrot body". Binafsi, ndani ya darasa nilikuwa natafsiriwa kama kauzu ila kwa huyu mwana nilisubiri. Darasani alikuwa anaingia mda wowote anaojisikia, hajali kuna mwalimu anafundisha ama la yeye anaingia tu. Na katika ukaaji wa dawati na meza ulivyopangwa na mwalimu wa darasa mwanamke anakaa katikati kulia na kushoto wanakaa wanaume.

Basi tuliwekwa na mwanamke mmoja alikuwa ni miongoni mwa pini za darasa. Laaa haulaa! Binti hakuwa anatufahamu vizuri bhana akawa anatuletea mapozi, basi jamaa anamwambia yule demu " wewe ni mbovu tu siku nyengine unakuja hapa unanukia u' chimpanzee u' chimpanzee unatupa mafua tu. Kuna day huyo "she" alienda toi ile "she" anarudi kukaa kwenye dawati lake mwana ananishtua yupo " Oi little Afro, mbona kama navuta hewa ya mmavi mmavi hapa, mi nikamjibu; sijui nini kimetokea. Jamaa akamwangalia yule demu kisha akasema kumbe huyu demu ametoka chooni ndomana tunasikia harafu ya mmavi mmavi hapa"

Ila jamaa alikuwa mkali wa math balaa.
 
Mimi nilimaliza la saba kwa mbinde sana na kufeli juu yake...
Ila namshukuru Mungu nimeajiri wasomi wa juu kabisa kwenye Shuhuli zangu na maisha yanaenda [emoji120]
 
Mimi nilimaliza la saba kwa mbinde sana na kufeli juu yake...
Ila namshukuru Mungu nimeajiri wasomi wa juu kabisa kwenye Shuhuli zangu na maisha yanaenda [emoji120]
Safi sana mkuu,kufeli shule sio kufeli maisha
 
Chuo kikuu raha sana. [emoji23][emoji23][emoji23]

Yani acha tu, nakumbuka unawahi kufika chuo alaf usiombe mpate boom mapema na masomo bado hayajaanza kuchanganyia, hakuna class alaf mna pesa, full kushinda mjini. Yani hayo maisha yalikua poa sana, no stress no shida ndogo ndogo.
 
Halafu hapo hata mwezi hauishi vizuri unapokea boom la pili. Kama vile unafanya kazi bhana.[emoji119][emoji119]
 
Mbona siwaoni hao walioishia msingi
OK mi nimeishia kidato cha NNE kama bashite nikapita njia zile zile alizopita mpaka na mimi nikafika chuo kikuu
Mwambieni magufuli na mimi anitazame
 
Halafu hapo hata mwezi hauishi vizuri unapokea boom la pili. Kama vile unafanya kazi bhana.[emoji119][emoji119]

Those were the good times. Yani kama ulisoma chuo alaf hukuweza kula good time mtu utakua uli miss a lot. Masomo yalikua hayaendi nikijua nna pesa kwenye account, natumia mpaka zibak za matumiz kidogo kidogo ndio nakaa vzur sasa nisome. Nimemiss sanaa.
 
Darasa la saba la zamani lilikua poa naona tunaandika vizuri hatuchanganyi matumizi ya herufi R na L, H na A, n.k
 
Those were the good times. Yani kama ulisoma chuo alaf hukuweza kula good time mtu utakua uli miss a lot. Masomo yalikua hayaendi nikijua nna pesa kwenye account, natumia mpaka zibak za matumiz kidogo kidogo ndio nakaa vzur sasa nisome. Nimemiss sanaa.
Vyeti vimekusaidia lakini au na wewe umeajiriwa na la saba
 
Back
Top Bottom