Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Cute b njoo hapa acha kutukimbia banah,sisi tunataka kuchangamsha mada banah, hata sisi tunafanya utani tu ila kidogo unakaribia ukweli,
 
Hahahaa yaani Ngai ngai, Jino kwa Jino.. ID fake, real content ya nini??
Bora tuwe fake tu maana kama ni fake mtu anafikiri ni kweli🤣😂🤣 ikiwa kweli baadhi yetu humu hatutaweza kuandika chochote.
 
Ila mimi haka ka kupandia ndege nilibahatika kuondoka nako sikukaacha Shule sasa naweza kuwa sawa na LY kweli!?
 
Na sisi Tulioishia form 3 na wazazi wakachemka Ada na bado tunaishi maisha ya Chuo kikuu vp!? Na sisi Comment zetu wapi? Tuweke
Tupo group moja mkuu huku graduate form 4 bado ni la saba wewe sema ni modern la saba wewe yani umeji advance
 
Back
Top Bottom