SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Habari za wakati ndugu zangu, natumaini mu wazima. Bila kupoteza muda naomba nielekee kwenye hoja ya msingi.
Leo Tume ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) wametoa orodha ya majina ya watu waliofuzu kwenda Dodoma kufanya usahili wa awali wa maandishi (amplitude test) siku ya tarehe 8 January 2022 katika vituko vilivyopangwa kulingana na utaratibu wao.
Nikiwa mmoja wa waliochaguliwa ningependa kupata heads-up, tips, clues na uzoefu kuhusu interview hiyo. Naomba kuwasilisha .