Tulioitwa Dodoma Kwenye Usahili wa Awali TAKUKURU (PCCB) hebu tujuzane kidogo

Jkt, umri nilijaza na cheti cha STD7...Kwa kweli nilijaza taarifa za uongo lakini ajabu nimeitwa..nawaza sijui niache kuchoma nauri yangu au niichome tu....Tafadhali napokea ishauri
 
Yaani umeitwa Tena baada ya usaili ulofanya jmos ama vipi, ebu tuweke wazi kwanza tukusaidie
 
Back
Top Bottom