SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Ndugu unyeti uko wapi wakati majina yametolewa hadharani???Vijana mna matatizo sana, mmeitwa kwenye kitu nyeti kama hicho nyie mnakimbilia JF kuripoti?
Kwani lazima kujuana?
PCCB ni idara nyeti, muwe na siri mtakosa mambo mazuri bila sababu za msingi.
Kama hujui unyeti wake basi sawa.Ndugu unyeti uko wapi wakati majina yametolewa hadharani???
Najua ni Taasisi nyeti lakini katika kutangaza majina yaliyoitwa kwenye usahili naamini hakuna unyeti maaana orodha yote Iko mtandaoni.. Ingekua wame wajulisha kwa njia tofauti na hapo sawa ungekua sahihi kusema ivyoKama hujui unyeti wake basi sawa.
ukimaliza kujaza hii taarifa ilete humu ndani tujue taarifa zako pia ,ndio utajua unyeti wa hii Taasisi. View attachment FOMU YA TAARIFA MUHIMU ZA MWOMBAJI.pdfNajua ni Taasisi nyeti lakini katika kutangaza majina yaliyoitwa kwenye usahili naamini hakuna unyeti maaana orodha yote Iko mtandaoni.. Ingekua wame wajulisha kwa njia tofauti na hapo sawa ungekua sahihi kusema ivyo
SuraMbna wengine tuliomba hatujaona majina kwani waliangalia nini kwenye kuchagua?
Kwani waliokosa hawana sura?Sura
Kwani wanazo?Kwani waliokosa hawana sura?
then clap your hands...Nzuri au mbaya zote sura
yaani mi mwnyewe nashangaa,, itakua wanacho,, ajira hamna mzee babaaNaomba kuuliza hv waliochaguliwa wote wanavigezo vya jkt ama,naona idadi ni kubwa
Waeleze mkuu, wenzenu hawasemagi hovyo, ndugu zetu wapo wakubwa tu majeshini na walivyondoka walichuna sio matangazo.Vijana mna matatizo sana, mmeitwa kwenye kitu nyeti kama hicho nyie mnakimbilia JF kuripoti?
Kwani lazima kujuana?
PCCB ni idara nyeti, muwe na siri mtakosa mambo mazuri bila sababu za msingi.