Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

Wakuu mliofanya interview osha vp kada ya electrical inspector tayar?? Leo kuna namba imenipigia marambili simu ilikuwa mbali , +255222771069 sasa sijuh ndio jamaa wa osha?? Au nipe uzoefu
Vipi uliconfirm umeitwa au bado?
 
Mwenye updates jamani vipi wameita watu kazini.​
 
Hao OSHA wanachukua watu wa IT?????? Mwenye kujua anijuze wakuu
 
Vp wakuu tupeane madesa kwa wale watu wa building and construction inspector ( Civil engineer 11) kwa OSHA huwa wanauliza maswali gani na paper lao huwa lina base wapi? Waliowahi kupiga paper tujuzane bhas.
 
Back
Top Bottom