Tuliojaza FULL-TANK leo tujuane

Kuweni makini, wengine mtajidanganya kununua lita nyingi na kuweka.majumbani mwenu, mtaangamiza familia zenu Kama ule msiba wa Msamvu- morogoro!
 
Mkuu Hivi Unafikiri Hakuna Mtu Aliyekwisha Kufanya Hivii

Kuweni makini, wengine mtajidanganya kununua lita nyingi na kuweka.majumbani mwenu, mtaangamiza familia zenu Kama ule msiba wa Msamvu- morogoro!
 
Sijui upo sekta gani il unatakiwa ujue kuwa kuna sekta zimeumia sana sasa endelea kuomba Mungu hili jana liishe kabla makali hayajakufikia
 
Unaweza ukakuta unatumia hela nyingi kuliko vile ulivyokua unatumia mwanza.
Maana zamani ulikua unajicontrol sababu ya kuhofia gharama sasa hivi utaanza route zisizo na kichwa wala mguu sababu ukifikiri gharama imeshuka
 
Sahihi Mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…