Tuliojaza FULL-TANK leo tujuane

Tuliojaza FULL-TANK leo tujuane

Kuweni makini, wengine mtajidanganya kununua lita nyingi na kuweka.majumbani mwenu, mtaangamiza familia zenu Kama ule msiba wa Msamvu- morogoro!
 
Mkuu Hivi Unafikiri Hakuna Mtu Aliyekwisha Kufanya Hivii

Kuweni makini, wengine mtajidanganya kununua lita nyingi na kuweka.majumbani mwenu, mtaangamiza familia zenu Kama ule msiba wa Msamvu- morogoro!
 
Wakuu Heshima Kwenu!

Hii ofa naomba Iendelee, yanii hapa ndipo pa kuonekana Mchawi Wa Kuombea ***** Uko Uarabuni Isikate Ili Mambo Yawe Hivii[emoji23][emoji23][emoji23]

Kesho Naweza Hata Kuchagua Njia Yeyote Nzurii Ya Kufika Kazini, Full Kiyoyozi Ndingani, Na Kwenye Foleni Hakuna Kuzima Gari [emoji119][emoji119][emoji119]
Sijui upo sekta gani il unatakiwa ujue kuwa kuna sekta zimeumia sana sasa endelea kuomba Mungu hili jana liishe kabla makali hayajakufikia
 
Wakuu Heshima Kwenu!

Hii ofa naomba Iendelee, yanii hapa ndipo pa kuonekana Mchawi Wa Kuombea ***** Uko Uarabuni Isikate Ili Mambo Yawe Hivii[emoji23][emoji23][emoji23]

Kesho Naweza Hata Kuchagua Njia Yeyote Nzurii Ya Kufika Kazini, Full Kiyoyozi Ndingani, Na Kwenye Foleni Hakuna Kuzima Gari [emoji119][emoji119][emoji119]
Unaweza ukakuta unatumia hela nyingi kuliko vile ulivyokua unatumia mwanza.
Maana zamani ulikua unajicontrol sababu ya kuhofia gharama sasa hivi utaanza route zisizo na kichwa wala mguu sababu ukifikiri gharama imeshuka
 
Sahihi Mkuu,
 
Back
Top Bottom