USITAFUTE NAMNA YA KURUDISHA PESA ULIZOPOTEZA, TAFUTA NAMNA YA KURUDISHA MAISHA YAKO.
Usione aibu kuanza upya. Hata kama una madeni mengi, bado una nafasi ya kujenga maisha yako upya. Pesa zinaweza kutafutwa tena, lakini afya yako, familia yako na maisha yako ni muhimu zaidi.
Ningependa tuanze kwa hatua moja: kwanza tuache kabisa Aviator na casino games zingine kama jet X, halafu tuangalie namna ya kutoka kwenye madeni na kurejesha maisha yetu ya awali.
BADO HATUJACHELEWA KUANZA UPYA, KAKA YANGU.