Timbwilimbiz
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 201
- 174
Wivu utakuua wee bwege!nyie wachaga acheni ukabila wenu mkutane hapa ili iweje.....mmezidi ubinafsi Magufuli anafanya vizuri sana kuwapotezea
Yeleuuwi hako kambege hapo pembeniShirima, hipoliti na patrisi ndio hao wameingia na meridian...
Swai anaingia na toyota hilux!
Yakubu ndio huyo na lile vx lake...
Karibu tule machalari na mbege!