Tuliokuwa na ndoto za Udaktari tukawa Walimu, tukutane hapa

Tuliokuwa na ndoto za Udaktari tukawa Walimu, tukutane hapa

Joined
Jun 29, 2022
Posts
16
Reaction score
11
Wale PCB's waliokuwa na ndoto za MD halafu tukajikuta ni walimu tukutane hapa kujadili kilichotufelisha wenzetu wajifunze
 
kwahyo mwanao utamjengea shule yake umfundishe ww mwenyewe, mana unamaanisha walimu ni failures
 
Je kusoma huko lilikua chaguo lenu au ndio nguvu ya mkopo?
Walimu wanafanya Kaz kubwa ya kulielimish taifa.ww unasema walimu walifeli ww ndo umefeli zaidi maana umefumdishwa na walimu waliofeli kwa maoni yako.inasikitisha unamfundisha kijana halafu anaanza kukutukana ATI mwl wake umefeli.
 
Sijui asee... Mambo yaligoma, motivation ikawa ndogo. Sijui kwanini? Malezi duni? Familia? Anyway life goes on.
 
Walimu wanafanya Kaz kubwa ya kulielimish taifa.ww unasema walimu walifeli ww ndo umefeli zaidi maana umefumdishwa na walimu waliofeli kwa maoni yako.inasikitisha unamfundisha kijana halafu anaanza kukutukana ATI mwl wake umefeli.
🤔🤔 kuna watu wanaitwa autodidacts hawa huwa wanajifunza wenyewe kila kitu alimradi wana uwezo wa ku access any material hawa unawaongeleaje?

Maana ukiwapa walimu inakuwa kama unawaumiza tu bure
 
Back
Top Bottom