Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

Ipo hadi video mtandaoni ikionyesha anachomolewa Walibya kutoka mtaro wa maji machafu akiwa na bastola yake ya dhahabu.
Nikupe ya obama alivyokuwa anaomba radhi kwa uhanisi alio ufanya?
 
Trump ni businessman, muda wa kupiga tantalila mara kuvamia huku na kule utapatikana wapi..?

Bidden supporters wanapenda kujimwambafy kwa migogoro na vita za michongo ili kuuonyesha ulimwengu kuwa wao ni ma giant, lakini deep inside hakuna kila kitu
 
Maswali yako yanotakana na uelewa finyu pamoja na ukosefu wa kujua takwimu.
Mwaka 2016 waliopiga kura walikuwa milioni 136 kati ya watu milioni 230 waliokuwa na vigezo, watu karibu million 100 hawakwenda kupiga kura kwa sababu walikuwa hawawapendi wote Trump na Hillary pamoja na voter suppression. Mwaka 2020 waliopiga kura walikuwa milioni 159 kati ya milioni 239 waliokuwa na vigezo. Hakuna abracadabra hapo au conspiracy unazofikiria umeweza kung'amua.

Pili, Mwanasheria mkuu wa Marekani aliyeteuliwa na Trump alisema Trump alishindwa uchaguzi, Bunge la seneti lililokiwa likiongozwa na Republicans pamoja na Makamu wa Rais wa Trump ambao ndio walikuwa wanaidhinisha matokeo walisema Trum ameshindwa na mahakama zote hadi mahakama kuu iliyojaa majaji wa Republicans walioteuliwa na Trump walisema Trump ameshindwa. Wanaosema Trump alishinda ni Trump mwenyewe na wafuasi wake waliokunywa maji ya bendera ambao wako tayari kulamba hata kinyesi chake.
 
Nikupe ya obama alivyokuwa anaomba radhi kwa uhanisi alio ufanya?
Nikupe video ya Walibya wakimchomoa Gaddafi kutoka mtaro alimokuwa amejificha huku akiomba msamaha wasimfanyie vibaya?
 
Trump ni businessman, muda wa kupiga tantalila mara kuvamia huku na kule utapatikana wapi..?

Bidden supporters wanapenda kujimwambafy kwa migogoro na vita za michongo ili kuuonyesha ulimwengu kuwa wao ni ma giant, lakini deep inside hakuna kila kitu
Biden amevamia wapi?
 
Kwa mafano wapi ame finance uvamizi akiwa gizani?

Pitia hiyo thread halafu uje na swali lingine
 
Sijaona chochote kuhusiana na Biden ku finance uvamizi popote,
 
Wewe nakujua tokea vita ya Ukraine, hauna maana.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Hata sadam alihukumiwa na mahakama ya kiraia pale baghdadi ila je ni kweli wa iraq walimuua ndugu yao?
Saddam mwenyewe aliua maelfu ya Ndugu zake Wakurdi na Washia kupitia mkono wa Chemical Ali, ndugu zake watashindwaje kumuua wakiipata hiyo fursa??
 
Nasikia leo kashinda jimbo IOWA kwa tofauti ya asilimia 30.Mwamba anaweza akarudi madarakani anafight sana japo anafanyiwa mizengwe mingi.
 
Nasikia leo kashinda jimbo IOWA kwa tofauti ya asilimia 30.Mwamba anaweza akarudi madarakani anafight sana japo anafanyiwa mizengwe mingi.
Anafanyiwa mizengwe na nani?
Ulitaka ichapishwe fomu moja tu ya Urais apewe kama huki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…