Tuliokuwa tunashika nafasi za mkiani darasani, come please.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,957
Kuna huu unafiki wa wazazi kuwadanganya watoto wao eti wakati wanasoma wao walikuwa wanakuwa wa kwanza darasani, mimi wacha niwe mkweli, nilikuwa nashika nafasi za mkiani darasani nilipokuwa primary, kuna wakati enzi hizo siku ya kufunga shule, wakisomwa wanafunzi hata 40 katika darasa la wanafunzi 50 nilikuwaga sisomwi, huu ulikuwa shule za vijijini, kuna wakati nikasoma shule za mjini, hizo unapewa matokeo kwenye barua, nilikuwaga nashika nafasi ya 30 kati ya wanafunzi 33, hizo ni nafasi za mkiani, namshukuru Mungu sikuwahi kuwa wa mwisho kabisa.

Pamoja na kushika nafasi za mkiani darasani sikukata tamaa, niliendelea kujikongoja, ikafikia wakati nikaanza na mimi kusogea madhabahuni, nafasi za mbele, hadi nikaanza kushika namba moja nilipofika kidato cha 2 hadi namaliza kidato cha 6, nimeingia chuo sikujali tena masomo, nikakalia tu wanawake, kusoma hakuna tena, ila nikamaliza salama, leo hii ni mtu naheshimika katika jamii ingawa katika jukwaa hili nimekuwa naandika mambo ya kuniondolea heshima, ni kwa kuwa ndo tulivyoamua jukwaa hili liende, ukiandika cha maana kinafutwa.

Washika mkia darasani hebu na nyie toeni ushuhuda wenu, je wewe ulibakia kuwa mshika mkia hadi lini? hii ni fursa kuonesha hata washika mkia wanaweza kufanikiwa kutoka mkiani hadi kujijengea heshima katika jamii, tusione soo hata kama tulikuwa washika mkia hadi kunakucha.
 
Dah,
mwenzangu una afadhali, ile nafasi ya mwisho mi nimeikamata mara kadhaa, wakati nafasi za 3 mwanzo zilishindaniwa za 3 mwisho wahusika tulijulikana.
 
Hivyo unashauri watoto washike mkia!
 
cha' hivyo uliendelea kuwa wa mwisho hadi kunakucha? vipi katika jamii unaheshimika?
 
Last edited by a moderator:
CHUAKACHARA sina maana hiyo, bali nataka kuionesha jamii hata washika mkia kuna wakati wanaishia pazuri, kama una mtoto mshika mkia basi umpatie hope one day yes.
 
Last edited by a moderator:
Jeki pole pole usije kua n watoto vilaza hadi wanazeeka bado unawapa hope one day yes
 
Kuna huu unafiki wa wazazi kuwadanganya watoto wao eti wakati wanasoma wao walikuwa wanakuwa wa kwanza darasani, mimi wacha niwe mkweli, nilikuwa nashika nafasi za mkiani darasani nilipokuwa primary, kuna wakati enzi hizo siku ya kufunga shule, wakisomwa wanafunzi hata 40 katika darasa la wanafunzi 50 nilikuwaga sisomwi, huu ulikuwa shule za vijijini, kuna wakati nikasoma shule za mjini, hizo unapewa matokeo kwenye barua, nilikuwaga nashika nafasi ya 30 kati ya wanafunzi 33, hizo ni nafasi za mkiani, namshukuru Mungu sikuwahi kuwa wa mwisho kabisa.

Pamoja na kushika nafasi za mkiani darasani sikukata tamaa, niliendelea kujikongoja, ikafikia wakati nikaanza na mimi kusogea madhabahuni, nafasi za mbele, hadi nikaanza kushika namba moja nilipofika kidato cha 2 hadi namaliza kidato cha 6, nimeingia chuo sikujali tena masomo, nikakalia tu wanawake, kusoma hakuna tena, ila nikamaliza salama, leo hii ni mtu naheshimika katika jamii ingawa katika jukwaa hili nimekuwa naandika mambo ya kuniondolea heshima, ni kwa kuwa ndo tulivyoamua jukwaa hili liende, ukiandika cha maana kinafutwa.

Washika mkia darasani hebu na nyie toeni ushuhuda wenu, je wewe ulibakia kuwa mshika mkia hadi lini? hii ni fursa kuonesha hata washika mkia wanaweza kufanikiwa kutoka mkiani hadi kujijengea heshima katika jamii, tusione soo hata kama tulikuwa washika mkia hadi kunakucha.
Mimi ningekuwa moderator ningekupiga bani ya kufa mtu kwa kusema uongo, hapo kwenye red utasemaje kuwa ukiandika kitu cha maana kinafutwa? Ni mara ngapi umeandika kitu cha maana wakati kwenye JF huna hata miezi mitatu
 
bornagain hapa mimi binafsi namtetea ndugu JEKI hata awe na siku tatu kama ameandika ya maana yakawa blocked ni haki yake kulalamika jamani,,, kwa maana hiyo unataka kusema wakongwe wa Jf ndo wanaweza kusema post zao hufutwa?? Nimewahi soma thread moja ya jeki akilalamika kua akiweka kitu chake kina kua blocked,
 
Dah,
mwenzangu una afadhali, ile nafasi ya mwisho mi nimeikamata mara kadhaa, wakati nafasi za 3 mwanzo zilishindaniwa za 3 mwisho wahusika tulijulikana.

Hahhahaah! Hahhahhah!
 
mama la mama wewe ndo umeuona ukweli ambao nimegundua watu wengi kama bornagain hajauona, hope one day atauona.
 
Last edited by a moderator:
Aisee me nilikuwa naruka hatua tatu from the dead line. Leo me ni bonge la Eng. Ila bata sikufanya kama wewe ndio maana nimekuwa Eng. Gud day wana Jf.
 
sasa wewe ukweli huu umewaeleza wanao?
au umekuja hapa na jina feki tu?
 
Kuna huu unafiki wa wazazi kuwadanganya watoto wao eti wakati wanasoma wao walikuwa wanakuwa wa kwanza darasani, mimi wacha niwe mkweli, nilikuwa nashika nafasi za mkiani darasani nilipokuwa primary, kuna wakati enzi hizo siku ya kufunga shule, wakisomwa wanafunzi hata 40 katika darasa la wanafunzi 50 nilikuwaga sisomwi, huu ulikuwa shule za vijijini, kuna wakati nikasoma shule za mjini, hizo unapewa matokeo kwenye barua, nilikuwaga nashika nafasi ya 30 kati ya wanafunzi 33, hizo ni nafasi za mkiani, namshukuru Mungu sikuwahi kuwa wa mwisho kabisa.

Pamoja na kushika nafasi za mkiani darasani sikukata tamaa, niliendelea kujikongoja, ikafikia wakati nikaanza na mimi kusogea madhabahuni, nafasi za mbele, hadi nikaanza kushika namba moja nilipofika kidato cha 2 hadi namaliza kidato cha 6, nimeingia chuo sikujali tena masomo, nikakalia tu wanawake, kusoma hakuna tena, ila nikamaliza salama, leo hii ni mtu naheshimika katika jamii ingawa katika jukwaa hili nimekuwa naandika mambo ya kuniondolea heshima, ni kwa kuwa ndo tulivyoamua jukwaa hili liende, ukiandika cha maana kinafutwa.

Washika mkia darasani hebu na nyie toeni ushuhuda wenu, je wewe ulibakia kuwa mshika mkia hadi lini? hii ni fursa kuonesha hata washika mkia wanaweza kufanikiwa kutoka mkiani hadi kujijengea heshima katika jamii, tusione soo hata kama tulikuwa washika mkia hadi kunakucha.

primary na sek hadi form II sikua vizuri,nakiri hilo,walim walinidharau,nilipofika form III ndo kidogo treni ikaanza kuchanganya kasi,advance ikawa kama treni ya umeme,namshukuru Mungu nimefanikiwa kufika elim ya juu,ila ukweli huwa najiuliza sana sana sana,hizi akili zimetoka wapi????
 
Kuna huu unafiki wa wazazi kuwadanganya watoto wao eti wakati wanasoma wao walikuwa wanakuwa wa kwanza darasani, mimi wacha niwe mkweli, nilikuwa nashika nafasi za mkiani darasani nilipokuwa primary, kuna wakati enzi hizo siku ya kufunga shule, wakisomwa wanafunzi hata 40 katika darasa la wanafunzi 50 nilikuwaga sisomwi, huu ulikuwa shule za vijijini, kuna wakati nikasoma shule za mjini, hizo unapewa matokeo kwenye barua, nilikuwaga nashika nafasi ya 30 kati ya wanafunzi 33, hizo ni nafasi za mkiani, namshukuru Mungu sikuwahi kuwa wa mwisho kabisa.

Pamoja na kushika nafasi za mkiani darasani sikukata tamaa, niliendelea kujikongoja, ikafikia wakati nikaanza na mimi kusogea madhabahuni, nafasi za mbele, hadi nikaanza kushika namba moja nilipofika kidato cha 2 hadi namaliza kidato cha 6, nimeingia chuo sikujali tena masomo, nikakalia tu wanawake, kusoma hakuna tena, ila nikamaliza salama, leo hii ni mtu naheshimika katika jamii ingawa katika jukwaa hili nimekuwa naandika mambo ya kuniondolea heshima, ni kwa kuwa ndo tulivyoamua jukwaa hili liende, ukiandika cha maana kinafutwa.

Washika mkia darasani hebu na nyie toeni ushuhuda wenu, je wewe ulibakia kuwa mshika mkia hadi lini? hii ni fursa kuonesha hata washika mkia wanaweza kufanikiwa kutoka mkiani hadi kujijengea heshima katika jamii, tusione soo hata kama tulikuwa washika mkia hadi kunakucha.

mungu muweza
 
JEKI sisi wageni watatuelewa tu maana hoja yake haina mashiko kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mkoroshokigoli ulikuwa nazo sema tu ulikuwa hujaanza kuzitumia, sawa na umasikini wa watanzania, wana kila rasilimali lakini bado masikini, ipo siku nao train yao itakuwa ya umeme. Hebu nifundisheni jinsi ya kunukuu maandishi ya mtu yanatokea kama ulivyofanya au kama alivyofanya bornagain.
 
aaah mdau nashukuru,huenda kweli nilikua cjaanza ku-utilize akili
ukitaka kuandika kama bornagain fanya hivi andika [kala=red] [/color] hapo nilipoacha space unaandika maneno bila kuacha nafasi kati ya blacket na blacket,
ila hiyo kala andika kwa kiingereza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom