G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,478
Hahahaa ndo mambo gani hayo mkuu umeniacha njiapandaKako poa tatizo katikati ya game kanaweza kuleta mambo ya haki za wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa ndo mambo gani hayo mkuu umeniacha njiapandaKako poa tatizo katikati ya game kanaweza kuleta mambo ya haki za wanawake
Kaolewa na Fred Nyantori ha ha haDah
watu wanajua kuwahi vitu vizuri aiseeeee....Karoho kameniuma, sema basi tu
binafsi sikuwahi mfahamu.Jaribu ku-google utapata habari zake. Mwakembye na A.G hawana hamu naye maana amewagaragaza kwenye matope Mahakama kuu alipoishitaki serikali kupinga sheria mbovu inayoruhusu ndoa za watoto. Kapewa tuzo huko UN kwa ujasiri wake.
Ndio nani mkuu?Inakuwaje wakuu,
Yule bibie asiye na rashda wala kashda tayari ameshatangaziwa nia.....
na huyo ndio nani mkuu?.mnazidi kutuongezea maswali.Kaolewa na Fred Nyantori ha ha ha
Kama yule wako [emoji287] [emoji287] [emoji287] [emoji287]Dah
watu wanajua kuwahi vitu vizuri aiseeeee....Karoho kameniuma, sema basi tu
Mkuu naheshimu mawazo yako lakini ujue hiyo sheria aliyoipinga ilikuwepo tangu siku nyingi tu lakini hakuna mtu mwingine aliyefikiria au kuonyesha uthubutu wa kuipinga. Kubadilisha sheria mbovu kwa hapa kwetu sio kazi rahisi ndio maana hata zile sheria kandamizi zilizoanishwa na kina Nyalali na Kisanga na mpaka leo hazijafutwa. Mbona mimi naona masuala ya Bungelive, ukiukwaji wa katiba na sakata la kina Lema ni ya kawaida tu. Japo hiyo Tuzo ya kimataifa aliyopewa haikuwa kenye malengo yake lakini sidhani kama ingeipata kwa kujishughulisha na hayo masuala uliyoyaanisha.binafsi sikuwahi mfahamu.
ila naomba nionge jambo moja,
mtu yeyote akianzisha movement ya kupigania haki za watoto,wanawake,
au walemavu,mwisho wa siku lazima atashinda tu.
kisheria ni masuala mepesi sana kushinda.so I see nothing special from her.
angejitosa kupigania masuala ya bungelive au sakata la lema,hakika ningemuona mwanamke wa shoka haswa.
basi sawa.Mkuu naheshimu mawazo yako lakini ujue hiyo sheria aliyoipinga ilikuwepo tangu siku nyingi tu lakini hakuna mtu mwingine aliyefikiria au kuonyesha uthubutu wa kuipinga. Kubadilisha sheria mbovu kwa hapa kwetu sio kazi rahisi ndio maana hata zile sheria kandamizi zilizoanishwa na kina Nyalali na Kisanga na mpaka leo hazijafutwa. Mbona mimi naona masuala ya Bungelive, ukiukwaji wa katiba na sakata la kina Lema ni ya kawaida tu. Japo hiyo Tuzo ya kimataifa aliyopewa haikuwa kenye malengo yake lakini sidhani kama ingeipata kwa kujishughulisha na hayo masuala uliyoyaanisha.
teh teh tehKama yule wako [emoji287] [emoji287] [emoji287] [emoji287]
Ukiondoa marehemu Mtikila sikumbuki mtanzania mwingine ambaye amedhubutu kuipeleka serikali mahakamani kwa kesi ya kikatiba na kuishinda. Sasa huyu binti pamoja na umri mdogo kafanikiwa kiasi hicho.. Ni kitu cha kushangaza kusikia kuwa hafahamiki hapa nyumbani na tuliojaliwa kidogo tunaona kutumia bundle kujielisha kidogo ni kupoteza hela.