A
Sio wote mkuuKumuonea huruma mtu wa customer care ni sawa na kumuonea huruma askari msitaafu
Pindi mko kazin nyie ndo mlikua mnatupa majibu mabaya tukipiga simu na kuitaji msaada
Nyie ndo mlikua mnatujibu hovyo kama tanesco ni mali ya baba yenu afu saiv unataka msaada wetu kenge ww
Kwanza kama umeshindwa kufanya maendeleo kwa kupitia mshahara na mikopo pindi uko kazn unategemea pesa ya nssf ndo itakupa maendeleo
Kumekucha ndo unakumbuka shuka, fangasi wewe.
Punguza jazbaKumuonea huruma mtu wa customer care ni sawa na kumuonea huruma askari msitaafu
Pindi mko kazin nyie ndo mlikua mnatupa majibu mabaya tukipiga simu na kuitaji msaada
Nyie ndo mlikua mnatujibu hovyo kama tanesco ni mali ya baba yenu afu saiv unataka msaada wetu kenge ww
Kwanza kama umeshindwa kufanya maendeleo kwa kupitia mshahara na mikopo pindi uko kazn unategemea pesa ya nssf ndo itakupa maendeleo
Kumekucha ndo unakumbuka shuka, fangasi wewe.
Leo vimeumana wanakuja kutulilia sisi tenaMlikuwa mkipigiwa simu mlikuwa hampokei
Hapo sasaLeo vimeumana wanakuja kutulilia sisi tena
Habari,Naomba kufikisha kilio chetu kuhusu haki ya mafao yetu ya NSSF. Sisi ni wafanyakazi tuliokuwa katika Kituo cha Huduma kwa Wateja (Call Center) cha TANESCO, tulioajiriwa kupitia Kampuni ya Erolink, kwa kipindi chote tulichofanya kazi, mwajiri wetu hakuwasilisha michango yetu ya NSSF, na licha ya mkataba wake na TANESCO kumalizika, bado hajatekeleza wajibu huo.
Tumefuatilia mara kadhaa bila kupata ushirikiano wa kuridhisha. Wengi wetu kwa sasa hatuna ajira, tuna familia zinazotutegemea, na maisha yamekuwa magumu. Haya ni mafao yetu ya halali ambayo tunastahili kuyapata.
Kwa heshima, tunaomba uingilie kati ili mamlaka husika zilifuatilie suala hili na kuhakikisha tunapata haki yetu. Tunaamini msaada wako unaweza kuwa mwanzo wa suluhisho kwa vijana, akina mama na akina baba wengi wanaoathirika na tatizo hili.
Tunashukuru kwa muda wako na tunatumaini utalisikia ombi letu.