and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
😁😁😁😁Kobazi na akili ni sawa na maji na mafuta; Bakwata hapo inahusikaje?
anga lipi lililotekwa na Israel?Mtu mmeambiwa anga lote limetekwa na Israel, sasa hao ATCL ndiyo wataingiaje
Kwani raia wote waliopo Iran wameuawa? Subirini vita viishe mje mchukuliwe
Ulikwenda kujifunza ugaidi ,,sasa unalia nini ...hivi tz kwa nini tuna angaika na nchi za kiarabu ..mimi nadhani hata barozi zao zisiwepo nchini . Nchi tunayo ihitaji zaidi ni China tuKupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
Angekumbuka hata kupanga vitu tungeshukuru sana
Huyo atakua Iran ya mwamapalala simiyuUpo Iran ya kibaigwa🚮
Huko Iran hakuna internet 🛜
Huyu anajua Bado ni October 29.Huyo atakua Iran ya mwamapalala simiyu
Umekosea hapo alipoweka bakwata,kwani walioko huko Iran wote ni kobazi kama wewe?Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
Nyie vibaraka wa Israel mfie huko huko.Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua