Tuliokwama Iran, tunahitaji ndege Ije kutuchukua

Ukifia ugenini unaungwa kwenye Bikra 72.
Kaza Sana usife Mana Tolla Bonta Kesha tangulia.
 
Juzi ulisema muandamane muende UBALOZI wa Marekani Dar……, baada ya swala ya ijumaa,,,!!! Hizi porojo kweli kweli
 
Unajua hizi picha kuna watu wanaona km utani ila kuna sehemu nilienda nikaona hali km hii aisee nilishtuka sana, yaan daah acha tu watu wanaishi maisha tafu sana aisee sitaki kukumbuka kabisa yaan ahh jiko humo humo pamebana meza kitanda nguo varaguvaragu kuchafu manguo machafu yaan hata kuvua viatu ni mtihani hakutamaniki humo ndani ni uvundo pananuka harufu za ajabu ajabu mpaka unashindwa kupumua ila yeye anaeishi yupo comfortable kabisa na hajali sikukaa sana niliomba kuondoka, oya kuna watu wanaishi mazingira ya ajabu sana sio uongo
 
Mkuu, unaizungumzia Iran ya 'CHAKO NI CHAKO' DODOMA, siyo?
 
Tanzania ipeleke wale jamaa makomandoo wa kupasua tofali kwa kichwa. Tofali lililoshindiliwa kwa mkono. Ahha aaaha aahaa
 
Utanyooka
 
Mtu mmeambiwa anga lote limetekwa na Israel, sasa hao ATCL ndiyo wataingiaje

Kwani raia wote waliopo Iran wameuawa? Subirini vita viishe mje mchukuliwe
Anga ya Irani Imetekwa? Unafikiri Irani ni Venezuela?
Iran imefunga Ghuba ya Uajemi inayopitisha meli zote za mafuta hata Marekani Wameogopa kusindikiza meli, sembuse Anga yake?
Tuambie kwanza alikojificha Netanyau baada ya Ikulu yake kusambaratishwa tar 2 March.
 
Khamenei yupo hai
 
Khamenei yupo hai

Khamenei alikuwa tayari kufa na watu wake kwani alikataa ushauri wa walinzi wake kuwa, hawezi kwenda kwenye safe office wakati watu wa Irani hawapo salama. Alisema kitakachopata raia wake acha na yeye kimpate
 
Nyie si swala 5 sasa mnawakimbiaje ma kafiri. Tulieni huko huko. Ndege hakuna Iran kalipua viwanjq vya ndege vyote hapo mashariki ya kati ikiwemo cha Dubai, kama mnaweza pigeni mbizi tutawapokea coco.
 
Ngoja tusubiri waliopo Iran na Israel walete ripoti ya moja kwa moja kutokea eneo la mapigano

Sisi tuliopo Mbagala, tuendelee kuwaombea hao wababe waache Vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…