Ni Miundombinu tu mibovu Mkuu,Daah alafu hii foleni ya palm beach hata sijajua imesababishwa na nini sababu masaa zaidi ya kumi yamtuweka njiani saa tisa hii ndio naingia kinondoni
Mvua haijaletwa na Serikali sawa lakin Serikali ndio ina wajibu wa kuweka miundombinu bora ya kuweza kuhimili hizi mvua. Imagine Mvua ya siku moja tu watu wanakaa kwenye foleni masaa 10, sasa ikioiga wiki mfululkizo itakuaje?Watu wanafiki, tukiwabomolea tujenge miundombinu kelele kama zote, hameni mabondeni hamtaki! Mvua haijaletwa na serikal ya ccm
Hawa punguani utawaweza. Miundombinu wakaichukue Ubelgiji kwa Amsterdam.Miundombinu yanini na nyinyi kilakukicha mnapinga kuboreshwa miundombinu!?
mnataka maendeleo ya watu na sio vitu kama miundombinu,niajabu leo mnalilia miundombinu!
Una uhaba wa akili kichwani si kosa lako!Hawa punguani utawaweza. Miundombinu wakaichukue Ubelgiji kwa Amsterdam.
Mbona Hamuekeweki Si Mnasema Maendeleo Ni ya Watu na Sio VituMvua haijaletwa na Serikali sawa lakin Serikali ndio ina wajibu wa kuweka miundombinu bora ya kuweza kuhimili hizi mvua. Imagine Mvua ya siku moja tu watu wanakaa kwenye foleni masaa 10, sasa ikioiga wiki mfululkizo itakuaje?
"Yote hii kasababisha Halima Mdee!!" Hoja mfu ya Gwajima. Kumbe adha yote hii ni Magufuli. Waziri wa ujenzi miaka mingi sana na raisi kwa miaka 5. Anajenga barara ya fahari baharini kwa sasa kwa sababu anaamini maendeleo ya vitu badala ya watu. Hela ya barabara ile ingetosha kumaliza tatizo hili la mafuriko ya kila mwaka Dar.Mimi nimejua karibuni tu kuwa ni barabara baada ya mgombea kutuambia mafanikio yake tangu ameingia madarakani.
Poleni watanzania mnaoishi Dar