Uchaguzi 2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

Kuna Jera wewe Acha kupenda mtoto Wa kiume unakuja kulalamika hujala just for few hrs hahaha BAVICHA BANA MNADEKA SANA

MAFURIKO HAYA CHA SERIKALI ILIYOPI AU INAYOKUJA HAYACHAGUI TUMIENI AKILI ....ALIVYO NA AKILI MBOVU TUNDU LISU ATAKUJA KUSEMA NTAZUIA MAFURIKOO
 
Sasa mnataka maendeleo ya watu au ya vitu?mbona hamueleweki? maana ikijengwa miundombinu mnasema hamtaki maendeleo ya vitu.
 
Daah alafu hii foleni ya palm beach hata sijajua imesababishwa na nini sababu masaa zaidi ya kumi yamtuweka njiani saa tisa hii ndio naingia kinondoni
Ni Miundombinu tu mibovu Mkuu,

Imagine pale from Red Cross within 5 hrs unasogea hatua kumi tu. Hivi lile daraja linalopita kule Baharini from Agha Khan Hospital si gharama zake wangetumia hata kunyanyua Daraja la Jangwani ambalo ki idadi wanapita watu wengi zaidi kuliko wale kule Osterbay?
 
Watu wanafiki, tukiwabomolea tujenge miundombinu kelele kama zote, hameni mabondeni hamtaki! Mvua haijaletwa na serikal ya ccm
Mvua haijaletwa na Serikali sawa lakin Serikali ndio ina wajibu wa kuweka miundombinu bora ya kuweza kuhimili hizi mvua. Imagine Mvua ya siku moja tu watu wanakaa kwenye foleni masaa 10, sasa ikioiga wiki mfululkizo itakuaje?
 
Mvua haijaletwa na Serikali sawa lakin Serikali ndio ina wajibu wa kuweka miundombinu bora ya kuweza kuhimili hizi mvua. Imagine Mvua ya siku moja tu watu wanakaa kwenye foleni masaa 10, sasa ikioiga wiki mfululkizo itakuaje?
Mbona Hamuekeweki Si Mnasema Maendeleo Ni ya Watu na Sio Vitu
Mara hamtak Mabarabara, Mara hamtaki flyover Mnataka nini ??

Mnatuchanganya sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dar es salaam ni moja ya majiji yenye wapiga kura wengi zaidi, Sasa mkifanya makosa mtatuumiza na wengine tulioko huku magoigigi
 
Mimi nimejua karibuni tu kuwa ni barabara baada ya mgombea kutuambia mafanikio yake tangu ameingia madarakani.
Poleni watanzania mnaoishi Dar
"Yote hii kasababisha Halima Mdee!!" Hoja mfu ya Gwajima. Kumbe adha yote hii ni Magufuli. Waziri wa ujenzi miaka mingi sana na raisi kwa miaka 5. Anajenga barara ya fahari baharini kwa sasa kwa sababu anaamini maendeleo ya vitu badala ya watu. Hela ya barabara ile ingetosha kumaliza tatizo hili la mafuriko ya kila mwaka Dar.
 
Kuna watu wameondoka bunju saa 9 mchana wamefika airport saa 4 usiku. Sidhani hata Kama marubani waliwahi kurusha ndege,
 
Back
Top Bottom