Uchaguzi 2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
Na Mimi nawashangaa watu wa Dar, yaani hayo maji yamewafuata huko juu juu kwenye barabara za juu au imekuwaje?
 
Miundombinu yanini na nyinyi kilakukicha mnapinga kuboreshwa miundombinu!?
mnataka maendeleo yawatu na siovitu kama miundombinu,niajabu leo mnalilia miundombinu!
Mnajaribu kupitosha kwa ujinga wenu, serikali isiyojua ianze na lipi haya ndo matokeo yake.
 
Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
Hahahahhaha mkuu una maanisha tupande bombadia mpaka tandale kwa tumbo ?
 
Folen ikiwa kbwa cku nyngne panden dream liner mzee c alxema amenunua kwa Kodi zenu
 
Ni jela sio jera mkuu
 
Watu wa dsm kwa kujitoa ufahamu mpo vizuri. Hichi kilicholeta mafuriko mnavyokishupalia utafikiri kwenye mji huu mafuriko ni kitu kigeni.

Ni sawa na magufuli anavyoishangaa serikali iliyopita ya magufuli kwa kushindwa kuwapa ajira vijana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua tulipoziona kwenye tv wakati wa kuzipokea mpaka leo sijui ziko wapi na wala sinapita wapi.
Duh,poleni sana watanzania wenzangu.Wazilete njombe huku tupakie viazi na maparachichi,au zitashindwa kupandwa kitonga?
 
Hivi foleni kipindi cha mvua ni kwamba askari wanaoongoza magari baada ya kuikimbia mvua ndo chanzo cha foleni ? ..je ni kwa sababu mataa huwa yanazima ? [emoji41][emoji41][emoji41] au je ni automatically lazima foleni iwepo?
Kutokana na miundombinu mibovu kama barabara kujaa maji automatically magari yana slowdown na mengine yanazimika njiani. Slowdown ya, say, one hour rush hours athari zake sio mchezo. Kwa mfano, kwenye kipande ambacho kwa dk. 30 yalitakiwa yawe yamekatiza magari 1000 under normal circumstances badala yake under slowdown yatakatiza, say, 400 hivyo utaona ndani ya muda huo huo wa slowdown magari 600 yatalazimika kuwa "on waiting" ambayo ndio foleni yenyewe!

Huo ni mfano wa dk. 30 tu; kadiri muda unavyoenda ndivyo speed inazidi kupungua na rate ya foleni kuongezeka hadi itafikia situation hakuna gari linalosogea! Na hali huwa mbaya zaidi blockage inapotokea kwenye junction; hakuna gari inayokatiza kuelekea upande wowote yanakuwa yameji-lock kwenye loop ambayo hakuna kwenda wala kurudi - stand still mode. Simple mathematics!

Hata katika mazingira ambayo sio ya mvua au hali mbaya ya hewa, ukikukatana na dereva mmoja mpuuzi naendesha kijinga rush hours "mtukane" maana madhara anayosababisha huko nyuma sio ya kawaida. In fact, kuna haja ya kuangalia upya sheria 50km/hrs; ifike mahali kuwe na minimum speed baadhi ya maeneo kuondoa kero ya foleni.
 
Reactions: Lee
Pole mheshimiwa. IST nyingi jana zimezima njiani kwa sababu ya maji yaliyojaa njiani. Pole sana
... hata bajaji; kila mmoja alikuwa analia plug imeingia maji! Ha ha ha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…