Ngigana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 2,106
- 1,443
Pole mheshimiwa. IST nyingi jana zimezima njiani kwa sababu ya maji yaliyojaa njiani. Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mheshimiwa. IST nyingi jana zimezima njiani kwa sababu ya maji yaliyojaa njiani. Pole sana
Na Mimi nawashangaa watu wa Dar, yaani hayo maji yamewafuata huko juu juu kwenye barabara za juu au imekuwaje?Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
Mnajaribu kupitosha kwa ujinga wenu, serikali isiyojua ianze na lipi haya ndo matokeo yake.Miundombinu yanini na nyinyi kilakukicha mnapinga kuboreshwa miundombinu!?
mnataka maendeleo yawatu na siovitu kama miundombinu,niajabu leo mnalilia miundombinu!
Mbichi au mbivuuCCM ni ndizi.
Nashauri hiyo Tarehe 28.10.2020 tungekutana kabla ya wale wenye Passo hawajakutana, mana nao siku hiyohiyo wana Jambo Lao.
Hahahahhaha mkuu una maanisha tupande bombadia mpaka tandale kwa tumbo ?Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
Mtu unafika nyumbani unakuta ni bahari nyumba haipo wala vitu havipoo unatoa macho tuuuHivi kwanini hamkupanda dreamliner iwafikishe mpk majumbani kwenu wakuu?
Lipa fidia sio kubomoa tu nani akilipwa fidia anakataa ? Tuliza tako sindano isivunjike mkuu.Watu wanafiki, tukiwabomolea tujenge miundombinu kelele kama zote, hameni mabondeni hamtaki! Mvua haijaletwa na serikal ya ccm
Ni jela sio jera mkuuKuna Jera wewe Acha kupenda mtoto Wa kiume unakuja kulalamika hujala just for few hrs hahaha BAVICHA BANA MNADEKA SANA
MAFURIKO HAYA CHA SERIKALI ILIYOPI AU INAYOKUJA HAYACHAGUI TUMIENI AKILI ....ALIVYO NA AKILI MBOVU TUNDU LISU ATAKUJA KUSEMA NTAZUIA MAFURIKOO
Eeh mpande,kwani hazifai mkuu?Hahahahhaha mkuu una maanisha tupande bombadia mpaka tandale kwa tumbo ?
Unajua tulipoziona kwenye tv wakati wa kuzipokea mpaka leo sijui ziko wapi na wala sinapita wapi.Eeh mpande,kwani hazifai mkuu?
Watu wa dsm kwa kujitoa ufahamu mpo vizuri. Hichi kilicholeta mafuriko mnavyokishupalia utafikiri kwenye mji huu mafuriko ni kitu kigeni.Dah,
Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara kununua tena mafuta Sababu tu ya kifoleni-mshenzi cha Palm Beach.
Nimeshinda na Njaa muda wote huo, sijala Chochote toka nlivokula saa saba mchana ndo nakuja kula muda huu. Hapa nimejitia risk ya vidonda vya tumbo. Home nimewaweka macho kunisubiri ili tu wasije wakapitiwa na usingizi na mlango haujafungwa.
Why nailaumu serikali? Sababu yenyewe ndio inajinasibu kuwa kwa miaka mitano hii imejenga Miundombinu ya kutosha hivyo tuichague Tena.
Hivi ni Miundombinu gani hiyo mvua ya siku moja mji mzima haupitiki kwa amani kila mahala foleni na/au mafuriko? Why Jangwani mpaka leo karne ya 21 kimvua cha siku moja tu panafungwa?
Kwa kweli katika hili nasema hapana, lazima tuonyeshane hapo 28-10 iwe isiwe.
Duh,poleni sana watanzania wenzangu.Wazilete njombe huku tupakie viazi na maparachichi,au zitashindwa kupandwa kitonga?Unajua tulipoziona kwenye tv wakati wa kuzipokea mpaka leo sijui ziko wapi na wala sinapita wapi.
Tairi zake ndogo sana sijui kama zitafika huko milimaniDuh,poleni sana watanzania wenzangu.Wazilete njombe huku tupakie viazi na maparachichi,au zitashindwa kupandwa kitonga?
Aisee nimechekaaaa daaaah aisee[emoji1787][emoji1787]
Kutokana na miundombinu mibovu kama barabara kujaa maji automatically magari yana slowdown na mengine yanazimika njiani. Slowdown ya, say, one hour rush hours athari zake sio mchezo. Kwa mfano, kwenye kipande ambacho kwa dk. 30 yalitakiwa yawe yamekatiza magari 1000 under normal circumstances badala yake under slowdown yatakatiza, say, 400 hivyo utaona ndani ya muda huo huo wa slowdown magari 600 yatalazimika kuwa "on waiting" ambayo ndio foleni yenyewe!Hivi foleni kipindi cha mvua ni kwamba askari wanaoongoza magari baada ya kuikimbia mvua ndo chanzo cha foleni ? ..je ni kwa sababu mataa huwa yanazima ? [emoji41][emoji41][emoji41] au je ni automatically lazima foleni iwepo?
... hata bajaji; kila mmoja alikuwa analia plug imeingia maji! Ha ha ha!Pole mheshimiwa. IST nyingi jana zimezima njiani kwa sababu ya maji yaliyojaa njiani. Pole sana