Uchaguzi 2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

Ila foreni ya jana shikamoo. Kutokea Mawasiliano kuja Kibangu nimetumia masaa 2. Sijui mkiokua mnaenda Buguruni mmefika au bado
... Mawasilino to Kibangu si ndio kabisa zinaunganishwa na ultra-modern fly over; the newest flyover duniani kwa sasa? Foleni inatoka tena wapi? Maajabu nchi hii hayaishi.
 
Mkuu umeuaa ...shukrani sana
 
Hoja dhaifu kabisa, kwani ni kila mvua ya siku moja huwa inaleta mafuriko? Je Tanzania ni nchi ya kwanza kuwa na Mafuriko duniani? Je nchi nyingine zilizoendelea zinazopata mafuriko kwamba hazina miundombinu mizuri??
Hii ni hoja dhaifu kabisa. Ukishindwa kushukuru kwa kidogo ulichopata huwezi ukashukuru hata ukipewa kikubwa.
Mimi kura yangu kwa Magufuli
 
Mvua imetusaidia kucampaign
 
Tunataka maendeleo ya watu, wewe unapigia chapuo maendeleo ya vitu
 
Mafuliko ni majanga Kama yalivyo mengine.... Pole Sana kwa usumbufu ulioupata
 
Yaani wewe ujenge nyumba yako kwenye mtaro wa maji alafu utafite mchawi..?
Wiki ijayo utaleta uzi MLIOGONGEWA wake zenu mna jambo lenu tarehe 28.10.2020
 
Tanzania haina mvua za maana wewe za kusababisha haya,!
 
Halafu mbumbumbu wachache waliobakia duniani watakupinga. Yaani kuna wazalendo uchwara kwenye hii nchi kila siku kutupigia kelele tuu mara wamefanya hivi sijui vile wakati uhalisia uko wazi. Shenzi kabisa.
 
We kwenda zako, Tanzania na Tanganyika vina umri gani? Mna quote quote tu vitu!
Sasa hizo kelele zako mbona hukuzipiga wakati huo wa Tanganyika/Tanzania, ukawa unafurahia mdumange, halfu within this 5 years unataka tuwe kama Rome
 
Ivi high way ya dar aifiki jangwani 😅
 
Na nyinyi sasa muwe mnajisifia kwa Vitu vya kusifika kweli. Sio mnajisifia kwa Miundombinu isiyohimili mikiki mikiki ya mvua ya siku moja.




 

Attachments

  • 1602690378663.png
    236.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…