Uchaguzi 2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

Hakuna muundombinu wowote duniani unaoweza kuhimili uwezo wa mwenyezi Mungu usijidanganye, suala la natural disaster ni uwezo wa maanani.
Sidhani hata unaelewa ulichoandika. Unadhan kwanini Selander Bridge hapafungwi panakuja kufungwa Jangwani ilihali mto ni huo huo moja?
 
polei sana wa dar,watu wa jiji kubwa Tz kwa mafuriko ya mvua ya dakika chache....
Inawezekana hilo eneo unalolalamikia hawajajenga hiyo miundombinu uitakayo maana malalamiko yamekuwa mengi watu hawataki maendeleo ya vitu tena...maana watanzania unaweza shindwa kujua wakitakacho,ukijenga miundombinu,lawama tele kuwa maendeleo ya vitu,usipo jenga lawama vile vile
 
Jenga barabara za kupandiana wanasahau kuzibua mitaro. Kwenye kuzibua mitaro hakuna 10%.
 
Kumbuka jina la rais mtaraniwa liko chini kabisa tell a friend to tell a friend
 
Nileteeni Gwajima
Nileteeni Gwajimaaa
Nileteeni GwajimaaaaaaaaπŸ˜“πŸ˜“
 
Nileteeni Gwajima
Nileteeni Gwajimaaa
Nileteeni GwajimaaaaaaaaπŸ˜“πŸ˜“
Wakati anaongea alikua katika hali hii 😑😑😑😑
 
Hili swali ukiwauliza ccm wanatema mate tu nakuondoka
Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
 
Sidhani hata unaelewa ulichoandika. Unadhan kwanini Selander Bridge hapafungwi panakuja kufungwa Jangwani ilihali mto ni huo huo moja?
Sasa wewe kusoma hujui, hata kuangalia picha napo tatizo, huoni kama pale ni baharini kabisa, unadhani siku ikitokea bahari ikatapika unadhani pale patapitika?? Ndo hapo unapotakiwa kujua uwezo wa maanani kuzuilika ni suala mtambuka
 
Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
Mkuu umevunja bendi .....
 
Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Maendeleo ya vitu sio kujenga mfumo wa maji imara bonde LA msimbazi na kuiokoa Jangwani. Hayo ni maendeleo ya watu maana ni People centred. Maendeleo ya vitu ni kama kununua Dreamliner na kulipaki JKNIA.
Pesa ya kununua hilo Boeing moja bei halali na kupigwa 10% ni kama B500 hivi ambazo ukizizamisha bonde la Jangwani matokeo utayaona na pengine watoto wetu watabaki kusimuliwa habari za Jangwani na mafuriko.
 
Si Hamtaki Maendeleo ya Vitu! Unless mnataka mpewe mafunzo ya kuogelea miundombinu mibovu tuipokee ndio imefika..bwana yule akishinda...maana anasema tuachane na vitu tukazane na watu.
 
Kumbe mnatamani marndeleo ya vitu. Kweli nyie vilaza msiojitambua
 
Miundombinu yanini na nyinyi kilakukicha mnapinga kuboreshwa miundombinu!?
mnataka maendeleo yawatu na siovitu kama miundombinu,niajabu leo mnalilia miundombinu!
Dada kwema huko kawe,nimeskia sauti ya kinyonge ikisema nileteeni mzinzi gwajima
 
Ujenzi Holela ndio shida ya Kwanza Dar es salaam....Najiuliza ni kwanini Tatizo hili hata halitajwi popote na Wagombea wote vyama vyote wote wanasema shule, maji/ ajira
Ujenzi holela?Acha dharau wewe kishingo,juzi nimekaa kwenye foleni kutoka Tazara mpaka Airport kwa muda wa masaa matano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…